Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kenya

  • Polisi 1400 wajiuzulu Kenya kwa kupunguziwa mishahara

    Polisi 1400 wajiuzulu Kenya kwa kupunguziwa mishahara

    Mar 19, 2018 11:53

    Maafisa 1,400 wa polisi wamejiuzulu wakilalamikia hatua ya Tume ya Huduma ya Polisi (NPSC) kupunguza mishahara yao.

  • ICC yatangaza majaji wapya kushughulikia kesi za Kenya zilizoporomoka

    ICC yatangaza majaji wapya kushughulikia kesi za Kenya zilizoporomoka

    Mar 17, 2018 12:29

    Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imechagua majaji wapya kushughulikia mafaili ya kesi zilizoporomoka za Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na naibu wake, Bw William Ruto kuhusu ghasia za baada ya uchaguzi wa 2007.

  • Abbas Gullet: Wakimbizi wapatao 10,000 kutoka Ethiopia wameingia nchini Kenya mwezi huu pekee

    Abbas Gullet: Wakimbizi wapatao 10,000 kutoka Ethiopia wameingia nchini Kenya mwezi huu pekee

    Mar 17, 2018 04:22

    Katibu Mkuu wa Shirika la Msalaba Mwekundu nchini Kenya ametangaza kuwa, wakimbizi wapatao 10,000 kutoka Ethiopia wameingia nchini humo tangu kuanza mwezi huu wa Machi.

  • Raia wawili wa Iran wamshitaki mwanasheria mkuu wa Kenya kwa kuwazuia katika mazingira mabaya

    Raia wawili wa Iran wamshitaki mwanasheria mkuu wa Kenya kwa kuwazuia katika mazingira mabaya

    Mar 14, 2018 04:08

    Raia wawili wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran waliokuwa wanashikiliwa nchini kenya kwa tuhuma za ugaidi, wamemshitaki mwanasheria mkuu wa Kenya kwa hatua yake ya kukaidi agizo la Mahakama ya Juu ya nchi hiyo lililotaka washikiliwe katika mazingira salama.

  • Kenya kuisaidia Somalia kuiumarisha mfumo wa sheria

    Kenya kuisaidia Somalia kuiumarisha mfumo wa sheria

    Mar 09, 2018 03:18

    Mwanasheria mkuu wa Kenya, Githu Muigai amesema, nchi yake itaisaidia Somalia kuimarisha mfumo wake wa sheria, ili kukabiliana vizuri zaidi na na changamoto za kijamii na kisiasa.

  • SAUTI, Shambulizi la magaidi wa ash-Shabab lililopelekea mauaji ya askari 5 wa Kenya asubuhi ya Ijumaa hii

    SAUTI, Shambulizi la magaidi wa ash-Shabab lililopelekea mauaji ya askari 5 wa Kenya asubuhi ya Ijumaa hii

    Mar 02, 2018 13:45

    Askari polisi watano wa Kenya wameuawa na wengine watatu kujeruhiwa baada ya wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab kushambulia kambi mbili za maafisa usalama katika mji wa Fino katika kaunti ya Mandera.

  • Al-Shabaab yaua askari polisi 5 wa Kenya kaunti ya Mandera

    Al-Shabaab yaua askari polisi 5 wa Kenya kaunti ya Mandera

    Mar 02, 2018 04:24

    Askari polisi watano wa Kenya wameuawa na wengine watatu kujeruhiwa baada ya wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab kushambulia kambi mbili za maafisa usalama katika mji wa Fino katika kaunti ya Mandera.

  • Twaweza: Masikini wanazidi kuwa masikini na matajiri kuwa matajiri zaidi Kenya

    Twaweza: Masikini wanazidi kuwa masikini na matajiri kuwa matajiri zaidi Kenya

    Mar 01, 2018 01:21

    Uchunguzi umeonyesha kwamba, maskini wamezidi kuwa maskini huku wale wenye uwezo wa kifedha wakiendelea kuwa matajiri zaidi nchini Kenya.

  • Serikali ya Kenya yaahidi kukomesha ugaidi unaovuruga elimu

    Serikali ya Kenya yaahidi kukomesha ugaidi unaovuruga elimu

    Feb 28, 2018 13:00

    Serikali ya Kenya imetangaza kuwa imebuni mpango ambao utahakikisha kwamba shughuli za masomo hazitaathiriwa katika maeneo ya kaskazini mashariki mwa nchi hiyo hususan katika Kaunti ya Wajir kutokana na mashambulizi ya kigaidi ya kundi la al Shabab.

  • Maisha nchini Kenya yatabiriwa kuendelea kuwa magumu kutokana na kuendelea hali ya ukame

    Maisha nchini Kenya yatabiriwa kuendelea kuwa magumu kutokana na kuendelea hali ya ukame

    Feb 16, 2018 01:21

    Gharama ya maisha kwa raia wa Kenya inatazamiwa kupanda zaidi kutokana na kurefuka kipindi cha kiangazi na ongezeko la bei za mahitaji muhimu ya kuzalisha bidhaa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS