Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kenya

  • SAUTI: Wakenya wanaoishi nchini Tanzania wameshiriki uchaguzi wa marudio, huku wakiwataka wenzao (Kenya) kudumisha amani

    SAUTI: Wakenya wanaoishi nchini Tanzania wameshiriki uchaguzi wa marudio, huku wakiwataka wenzao (Kenya) kudumisha amani

    Oct 26, 2017 13:06

    Wakenya wanaoishi nchini Tanzania wameshiriki zoezi la upigaji kura kwa ajili ya kumchagua rais wao katika uchaguzi wa rais wa marudio.

  • Watu kadhaa wauawa na makumi wajeruhiwa katika uchaguzi wa marudio wa rais wa Kenya

    Watu kadhaa wauawa na makumi wajeruhiwa katika uchaguzi wa marudio wa rais wa Kenya

    Oct 26, 2017 12:54

    Watu wasiopungua wanne wameuawa katika mkoa wa Nyanza na mji wa Machakos nchini Kenya katika ghasia za uchaguzi wa marudio wa rais uliofanyika leo nchini humo.

  • Wakenya washiriki uchaguzi wa rais wa marudio uliosusiwa na upinzani

    Wakenya washiriki uchaguzi wa rais wa marudio uliosusiwa na upinzani

    Oct 26, 2017 04:41

    Wananchi wa Kenya waliotimiza masharti ya kupiga kura wameelekea katika masanduku ya kupigia kura kushiriki uchaguzi wa marudio wa urais, ambao umesusiwa na viongozi na wafuasi wa upinzani.

  • Rais wa Kenya ataka uchaguzi ufanyike kwa amani kesho, kiongozi wa upinzani Raila Odinga aususia rasmi

    Rais wa Kenya ataka uchaguzi ufanyike kwa amani kesho, kiongozi wa upinzani Raila Odinga aususia rasmi

    Oct 25, 2017 13:07

    Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amelihutubia taifa jioni hii na kutoa mwito kwa Wakenya kujitokeza kwa wingi katika uchaguzi wa marudio wa Rais na kuhakikisha usalama na amani inadumishwa nchini humo.

  • Mahakama ya Juu Kenya yaakhirisha kesi ya uchaguzi wa marudio kwa ukosefu wa akidi

    Mahakama ya Juu Kenya yaakhirisha kesi ya uchaguzi wa marudio kwa ukosefu wa akidi

    Oct 25, 2017 04:45

    Kesi iliyowasilishwa katika Mahakama ya Juu na watetezi na wanaharakati wa haki za binadamu ya kutaka kuakhirishwa uchaguzi wa rais wa marudio nchini Kenya imekosa kufanyika kutokana na ukosefu wa akidi.

  • Odinga: Wafuasi wetu wasiandamane siku ya uchaguzi wa marudio

    Odinga: Wafuasi wetu wasiandamane siku ya uchaguzi wa marudio

    Oct 24, 2017 11:35

    Kinara wa muungano wa upinzani NASA nchini Kenya amewataka wafuasi wa mrengo huo kutofanya maandamano wakati wa uchaguzi wa marudio wa urais unaotazamiwa kufanyika Alkhamisi wiki hii.

  • SAUTI: Baraza Kuu la Waislamu nchini Kenya lawachagua viongozi wapya, watakiwa kutatua matatizo ya Waislamu

    SAUTI: Baraza Kuu la Waislamu nchini Kenya lawachagua viongozi wapya, watakiwa kutatua matatizo ya Waislamu

    Oct 23, 2017 13:20

    Hatimaye Baraza Kuu la Waislamu nchini Kenya limefanya uchaguzi wa ndani ikiwa ni baada ya kupita zaidi ya miaka 10.

  • UN na AU zatoa wito wa amani kabla ya uchaguzi wa marudio Kenya

    UN na AU zatoa wito wa amani kabla ya uchaguzi wa marudio Kenya

    Oct 23, 2017 10:24

    Umoja wa Afrika na Umoja wa Mataifa zimetoa taarifa ya pamoja zikitoa wito kwa wanasiasa na polisi nchini Kenya kuzingatia sheria katika kutatua mgogoro uliopo nchini humo.

  • Helikopta yaanguka Kenya, wanachama wa Jubilee wanaaminika kuaga dunia

    Helikopta yaanguka Kenya, wanachama wa Jubilee wanaaminika kuaga dunia

    Oct 21, 2017 13:31

    Ndege moja aina ya helikopta imeanguka katika ziwa Nakuru nchini Kenya muda mfupi baada ya kuondoka katika hoteli moja mjini humo.

  • Polisi Kenya: Watu 4 wameuawa katika maandamano ya upinzani

    Polisi Kenya: Watu 4 wameuawa katika maandamano ya upinzani

    Oct 20, 2017 13:43

    Polisi ya kenya imesema kuwa watu wanne wameuawa katika maandamano ya upinzani nchini humo katika kipindi cha wiki mbili zilizopita huku uchaguzi wa rais wa marudio ukikaribia kufanyika wiki ijayo. Polisi ya Kenya imesema kuwa watu hao waliuawa katika mapigano yaliyotokea kati ya maafisa polisi na waandamanaji.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS