-
Chama cha Jubilee chawashitaki viongozi wa NASA kwa kuwashawishi Wakenya kususia uchaguzi
Oct 20, 2017 01:13Katibu Mkuu wa Chama cha Jubelee nchini Kenya, Raphael Tuju amesema kuwa uongozi wa chama hicho umewasilisha kesi katika Mahakama ya Juu ambayo iliagiza uchaguzi wa urais urudiwe.
-
Mmoja wa viongozi wa Tume ya Uchaguzi ya IEBC nchini Kenya ajiuzulu
Oct 18, 2017 11:48Mmoja kati ya viongozi wanane wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka ya Kenya (IEBC) nchini Kenya ametangaza kujiuzulu wadhifa wake huo mapema leo Jumatano.
-
Upinzani Kenya wasimamisha maandamano, Ruto amtaka Odinga ashiriki uchaguzi
Oct 17, 2017 11:57Muungano wa upinzani nchini Kenya NASA umetangaza kusimamisha maandamano ya kushinikiza marekebisho kwenye Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kuelekea uchaguzi wa marudio wa Oktoba 26.
-
HRW, AI: Polisi ya Kenya imeua watu zaidi ya 67 katika maandamano
Oct 16, 2017 04:47Mashirika ya kutetea haki za binadamu ya Human Rights Watch na Amnesty International yamesema polisi ya Kenya imeua watu wasiopungua 50 katika maandamano ya upinzani ya kushinikiza mabadiliko kwenye Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka IEBC, kuelekea uchaguzi wa marudio wa Oktoba 26.
-
Askofu asilimu Kenya na wafuasi wake, ageuza kanisa lake kuwa msikiti
Oct 15, 2017 23:03Askofu mmoja nchini Kenya amesilimu akiwa na wafuasi wake na kulibadilisha kanisa lake kuwa msikiti.
-
Wapinzani Kenya waendeleza maandamano ya kutaka mabadiliko katika tume ya uchaguzi
Oct 15, 2017 11:32Muungano mkuu wa upinzani Kenya, NASA, leo umeendeleza maandamano ya kutaka mabadiliko katika Tume Huru ya Uchaguzi IEBC.
-
Wanafunzi 6 na mlinzi wauawa baada ya shule kuvamiwa na maharamia Kenya
Oct 14, 2017 06:06Kwa akali wanafunzi sita na bawabu wa shule moja katika mji wa Lokichogio, kaskazini mwa Kenya wameuawa baada ya shule yao kuvamiwa na maharamia wanaoaminika kutoka Sudan Kusini, usiku wa kuamkia leo.
-
Watu 3 wauawa katika maandamano ya wapinzani nchini Kenya
Oct 13, 2017 11:29Watu watatu wameripotiwa kuuawa katika maandamano ya wapinzani nchini Kenya ambao wanataka mabadiliko katika Tume Huru ya Uchaguzi IEBC.
-
Mwangwi wa hatua ya kinara wa chama kikuu cha upinzani Kenya kujiondoa katika uchaguzi wa Rais
Oct 11, 2017 07:24Kiongozi wa muungano wa upinzani wa National Super Alliance (NASA) nchini Kenya ametangaza kuwa, hatagombea katika uchaguzi wa marudio wa rais ambao umepangwa kufanyika tarehe 26 Oktoba akisema kwamba uchaguzi huo hautakuwa huru na wa haki.
-
Odinga ajitoa kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi wa marudio wa rais wa Kenya
Oct 10, 2017 13:21Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga ametangaza leo kuwa hatogombea katika uchaguzi wa marudio wa rais ulioamriwa kuitishwa tena na Mahakama ya Juu ya nchi hiyo ambao umepangwa kufanyika tarehe 26 Oktoba akisema kwamba uchaguzi huo hautokuwa huru na wa haki.