-
Mahakama Kenya yasimamisha mpango wa kuajiriwa madaktari wa Tanzania
Mar 31, 2017 10:33Mahakama ya Leba nchini Kenya imesimamisha mpango wa serikali wa kuwaajiri mamia ya madaktari kutoka nchi jirani ya Tanzania.
-
Msalaba Mwekundu: Wakenya milioni 3 wanahitajia msaada wa chakula
Mar 28, 2017 12:06Shirika la Msalaba Mwekundu limesema Kenya inahitajia msaada wa dharura wa chakula ili kunusuru maisha ya watu milioni 3 wanaokabiliwa na hatari ya kufa njaa kutokana na kushtadi ukame nchini humo.
-
Wanajeshi wa Kenya wawaangamiza wanamgambo 31 wa al Shabab
Mar 27, 2017 08:58Wanajeshi wa Kenya nchini Somalia wamewauwa wanamgambo 31 wa kundi la kigaidi la al Shabab katika shambulio walilofanya katika kambi mbili za kundi hilo huko Jubbaland kusini mwa Somalia. Hayo yameelezwa leo Jumatatu na jeshi la Kenya.
-
Tanzania kupeleka madaktari 500 Kenya kusaidia kukabiliana na mgomo
Mar 18, 2017 12:32Tanzania itapeleka madaktari 500 Kenya kuisaidia nchi hiyo kukabiliana na athari za mgomo wa madaktari unaoendelea katika hospitali za umma.
-
NASA yatakiwa kutumia mfumo wa mlolongo kumteua mgombea urais Kenya
Mar 16, 2017 10:55Muungano wa upinzani wa NASA nchini Kenya umetakiwa kutumia mfumo wa upigaji kura wa mlolongo kumteua mgomea kiti cha urais.
-
SAUTI: Rais Kenyatta: Sitomtusi mtu tena, mimi ni binaadamu, Lakini mpinzani atakayenichokoza atapata jibu lake kali
Mar 12, 2017 14:25Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amewaomba radhi raia wa nchi hiyo kwa kutumia lugha ya matusi, katika kukabiliana na wapinzani wake majukwaani.
-
Washukiwa 6 wa al Shabab watiwa nguvuni Malindi, Kenya
Mar 11, 2017 13:19Polisi ya kupambana na ugaidi ya Kenya imewatia nguvuni watu 6 wanaoshukiwa kuwa magaidi wa kundi la al Shabab katika mji wa pwani wa Malindi.
-
SAUTI: Kufuatia Rais Kenyatta wa Kenya kujibizana vikali na kiongozi wa upinzani, sasa viongozi wa kisiasa watakiwa kuwa na subira
Mar 10, 2017 13:51Muungano wa viongozi wa kidini nchini Kenya umetoa tahadhari ya kudhibiti ndimi za wanasiasa kunako kutoa maneno ya uchochezi pale wawapo majukwaani.
-
Katibu Mkuu wa UN kuwasili leo Nairobi, mamilioni ya Wakenya wanasumbuliwa na njaa
Mar 05, 2017 00:24Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anatarajiwa kuwasili leo nchini Kenya katika safari ya kikazi ya siku mbili.
-
Vikosi vya usalama vya Kenya vyawekwa katika hali ya tahadhari baada ya mauaji ya Baringo
Feb 27, 2017 04:19Vikosi vya usalama vya Kenya vimewekwa katika hali ya tahadhari kaskazini magharibi mwa nchi hiyo baada ya kuongezeka mauaji katika Kaunti ya Baringo.