Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kenya

  • Kenya yaomba msaada kwa ajili ya kukabiliana na ukame

    Kenya yaomba msaada kwa ajili ya kukabiliana na ukame

    Feb 21, 2017 04:03

    Serikali ya Kenya imeomba msaada wa mashirika ya kimataifa kwa ajili ya kukabiliana na ukame ulioikumba nchi hiyo.

  • Mahakama Kuu ya Kenya yabatilisha uamuzi wa kuifunga kambi ya wakimbizi ya Dadaab

    Mahakama Kuu ya Kenya yabatilisha uamuzi wa kuifunga kambi ya wakimbizi ya Dadaab

    Feb 09, 2017 13:18

    Mahakama Kuu ya Kenya imebatilisha mpango uliotangazwa na serikali ya nchi hiyo wa kuifunga kambi ya wakimbizi ya Dadaab.

  • Kenya kuimarisha sekta ya utalii Halal kwa ajili ya Waislamu

    Kenya kuimarisha sekta ya utalii Halal kwa ajili ya Waislamu

    Feb 05, 2017 03:46

    Kenya imeanzisha mkakati wa huduma za 'Halal' za kitalii kwa ajli ya ongezeko la watalii Waislamu nchini humo.

  • SAUTI: Mahakama ya Haki na Uadilifu ya Kimataifa imetupilia mbali ombi la Kenya la kutaka kutosikilizwa kesi ya mpaka na Somalia

    SAUTI: Mahakama ya Haki na Uadilifu ya Kimataifa imetupilia mbali ombi la Kenya la kutaka kutosikilizwa kesi ya mpaka na Somalia

    Feb 02, 2017 13:48

    Serikali ya Kenya imepoteza ombi lake katika mahakama ya kimataifa kuhusu masuala ya haki, baaya ya kuitaka mahakama hiyo kutosikiliza kesi kuhusu mpaka wake na Somalia.

  • Al-Shabaab yadai kuua askari 66 wa KDF Somalia, Kenya yakanusha

    Al-Shabaab yadai kuua askari 66 wa KDF Somalia, Kenya yakanusha

    Jan 27, 2017 10:16

    Jeshi la Kenya limekadhibisha madai yaliyotolewa na kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab kwamba limeua makumi ya wanajeshi wa KDF katika kambi ya jeshi iliyoko katika mji wa Kulbiyow, kusini mwa Somalia.

  • SAUTI: Wakenya wa kabila la Wanubi walalamikia kusumbuliwa na serikali katika harakati za kusaka vitambulisho vya taifa kuelekea uchaguzi

    SAUTI: Wakenya wa kabila la Wanubi walalamikia kusumbuliwa na serikali katika harakati za kusaka vitambulisho vya taifa kuelekea uchaguzi

    Jan 24, 2017 13:48

    Wakenya wa kabila la Wanubi nchini Kenya wameilalamikia serikali kwa kuwasumbua katika harakati za kusaka vitambulisho vya taifa ambavyo vitawapa haki ya kushiriki uchaguzi wa mwezi Agosti mwaka huu.

  • Polisi mmoja auawa kaskazini mashariki mwa Kenya

    Polisi mmoja auawa kaskazini mashariki mwa Kenya

    Jan 23, 2017 11:38

    Jeshi la polisi nchini Kenya limetangaza habari ya kuuawa afisa mmoja wa polisi wakati wanamgambo wanaosadikiwa ni wa kundi la kigaidi la al Shabab walipotega mabomu katika benki moja na mikahawa miwli huko Mandera, kaskazini mashariki mwa Kenya.

  • Rais wa Kenya atoa wito wa kupatiwa ufumbuzi mgogoro wa Gambia kwa njia za amani

    Rais wa Kenya atoa wito wa kupatiwa ufumbuzi mgogoro wa Gambia kwa njia za amani

    Jan 21, 2017 04:29

    Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ametoa wito wa kupatiwa ufumbuzi mgogoro wa Gambia kwa njia za amani.

  • SAUTI: Awamu nyingine ya uandikishaji wa wapigakura nchini Kenya imeanza Jumatatu hii chini ya anga ya tuhuma za wapinzani

    SAUTI: Awamu nyingine ya uandikishaji wa wapigakura nchini Kenya imeanza Jumatatu hii chini ya anga ya tuhuma za wapinzani

    Jan 16, 2017 13:49

    Awamu ya pili ya zoezi la kitaifa la usajili wa wapigakura nchini Kenya limeanza rasmi Jumatatu hii.

  • SAUTI: Serikali ya Kenya yasema, Tumegundua genge la vijana wanaopatiwa mafunzo ya utumiaji silaha haramu kuelekea uchaguzi

    SAUTI: Serikali ya Kenya yasema, Tumegundua genge la vijana wanaopatiwa mafunzo ya utumiaji silaha haramu kuelekea uchaguzi

    Jan 14, 2017 13:41

    Serikali ya Kenya imetangaza kupata ripoti kamilifu za kijasusi kuhusu vijana wanaopata mafunzo ya utumiaji wa silaha kama vile bastola na bunduki.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS