Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

kikao

  • Kufanyika kikao cha Kamisheni ya Haki za Binadamu na Watu ya Umoja wa Afrika

    Kufanyika kikao cha Kamisheni ya Haki za Binadamu na Watu ya Umoja wa Afrika

    May 10, 2017 07:55

    Kikao cha sitini cha Kamisheni ya Haki za Binadamu na Watu ya Umoja wa Afrika (ACHPR) kimeanza katika mji mkuu wa Niger, Niamey kwa kuhudhuriwa na wawakilishi zaidi ya 600 kutoka nchi mbalimbali za Afrika na za mabara mengine duniani. Kikao hicho kilianza siku ya Jumatatu ya tarehe 8 Mei na kitaendelea kwa muda wa wiki mbili hadi tarehe 22 mwezi huu.

  • Kuongezeka mivutano baina ya Marekani na Russia kuhusu Syria

    Kuongezeka mivutano baina ya Marekani na Russia kuhusu Syria

    Apr 28, 2017 22:00

    Kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kilichofanyika Alkhamisi jioni katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York, Marekani, kimejikita kwenye hali ya kibinadamu katika nchi ya Syria iliyoharibiwa vibaya na vita.

  • Nchi za magharibi mwa Afrika zakutana na kujadili namna ya kupambana na ugaidi

    Nchi za magharibi mwa Afrika zakutana na kujadili namna ya kupambana na ugaidi

    Apr 27, 2017 23:14

    Watalaamu kutoka nchi 10 za magharibi mwa Afrika wamekutana katika mji mkuu wa Togo, Lome na kujadili namna ya kupambana na tatizo la ugaidi pamoja na njia za kuboresha usalama na amani katika ndege za abiria.

  • Mawaziri wa uchumi na Fedha wa nchi za ukanda wa Franc CFA wafanya kikao Kodivaa

    Mawaziri wa uchumi na Fedha wa nchi za ukanda wa Franc CFA wafanya kikao Kodivaa

    Apr 14, 2017 10:30

    Mawaziri wa Uchumi na Fedha wa nchi za Ukanda wa Franc CFA, wamekutana mjini Abidjan, Kodivaa kujadili changamoto zinazoikabili sarafu hiyo.

  • Maafisa usalama wa Afrika watahadharisha kuhusu hatari ya makundi ya kigaidi

    Maafisa usalama wa Afrika watahadharisha kuhusu hatari ya makundi ya kigaidi

    Apr 06, 2017 10:04

    Maafisa wa upelelezi na vyombo vya usalama wa nchi 30 za Afrika walioshiriki katika mkutano wa amani nchini Sudan wametahadharisha kuhusu vitisho vya makundi ya kigaidi barani humo.

  • Kupambana na ugaidi, lengo la kongamano la usalama barani Afrika

    Kupambana na ugaidi, lengo la kongamano la usalama barani Afrika

    Apr 04, 2017 08:05

    Viongozi wa masuala ya intelijensia na usalama kutoka nchi 30 za Kiafrika wanakutana mjini Khartoum, Sudan katika kikao cha siku tatu kwa lengo la kuchunguza mikakati ya kupambana na vitisho vipya na ongezeko la ugaidi barani humo.

  • Kikao cha Brussels cha mawaziri wa mambo ya nje wa NATO

    Kikao cha Brussels cha mawaziri wa mambo ya nje wa NATO

    Apr 02, 2017 00:17

    Kikao cha mawaziri wa mambo ya nje wa nchi wanachama wa shirika la kujihami la kijeshi la NATO kilifanyika siku ya Ijumaa iliyopita katika makao makuu ya shirika hilo mjini Brussels, Ubelgiji.

  • Radiamali ya viongozi wa Iraq kwa vikao vyenye kutia shaka kuhusu mustakbali wa kisiasa wa nchi hiyo

    Radiamali ya viongozi wa Iraq kwa vikao vyenye kutia shaka kuhusu mustakbali wa kisiasa wa nchi hiyo

    Mar 11, 2017 09:11

    Spika wa bunge la Iraq amesisitiza kuwa wanapinga mfumo wowote ule wa kuiweka Iraq chini ya Himaya ya ndani au nje ya nchi na pia kila mikutano na vikao vya nje ya nchi vinavyofanyika kwa lengo la kuigawa nchi hiyo.

  • Kikao cha siku tano cha Bodi ya Magavana wa IAEA chaanza mjini Vienna Austria

    Kikao cha siku tano cha Bodi ya Magavana wa IAEA chaanza mjini Vienna Austria

    Mar 06, 2017 10:17

    Kikao cha siku tano cha Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) kimeanza leo mjini Vienna Austria.

  • Juhudi za majirani wa Libya za kuupatia ufumbuzi mgogoro wa nchi hiyo

    Juhudi za majirani wa Libya za kuupatia ufumbuzi mgogoro wa nchi hiyo

    Feb 22, 2017 04:21

    Katika kuendelea juhudi za kieneo kwa shabaha ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa sasa wa kisiasa wa Libya, Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa nchi jirani na nchi hiyo wamesisitiza upinzani wao dhidi ya kutumika nguvu ya aina yoyote ya kijeshi kwa ajili ya kuhitimisha mgogoro wa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS