-
Maafisa usalama wa Iran na Russia wakutana Tehran katika kikao cha pamoja
Jun 20, 2024 03:10Maafisa wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Russia wametilia mkazo wajibu wa kushirikiana zaidi katika kupambana na ugaidi na uhalifu wa kitaasisi na kiserikali pamoja na kupambana na mihadarati.
-
Mawaziri wa Ulinzi wa nchi za Afrika wakutana kujadili usalama na amani ya bara
Dec 19, 2019 02:33Mawaziri wa Usalama na maafisa wengine wa ngazi za juu wa usalama wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika wanatazamiwa kukutana leo Alkhamisi kujadili masuala ya amani na changamoto za kiusalama zinazolikabili bara hilo.
-
Iran itakabiliana na vitisho vyote vya Marekani
Apr 26, 2017 13:03Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Iran itakabiliana na kila aina ya vitisho vya Marekani na madola mengine ya kibeberu.
-
Juhudi za nchi za Sahel kwa ajili ya kupambana na ugaidi
Feb 06, 2017 12:32Viongozi wa nchi tano za eneo la Sahel zinazojumuisha Mauritania, Chad, Burkina Faso, Niger, Mali wamekutana katika kikao cha dharura kujadili hali ya usalama nchini Mali.