Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kiongozi Muadhamu

  • Katika siku ya kuzaliwa Abul Fadh'l: Ayatullah Khamenei awapongeza vilema wa vita, awataja kuwa ni mashahidi walio hai

    Katika siku ya kuzaliwa Abul Fadh'l: Ayatullah Khamenei awapongeza vilema wa vita, awataja kuwa ni mashahidi walio hai

    Mar 29, 2020 06:06

    Sambamba na maadhimisho ya siku ya kuzaliwa Abul Fadh'li Abbas bin Ali bin Abi Twalib (as), na Siku ya Wenye Kijitoa Mhanga, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei ametoa taarifa akipongeza nafasi na mchango wa vilema wa vita wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran.

  • Kiongozi Muadhamu: India isitishe mauaji ya Waislamu iwapo haitaki kutengwa

    Kiongozi Muadhamu: India isitishe mauaji ya Waislamu iwapo haitaki kutengwa

    Mar 05, 2020 09:55

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameitahadharisha serikali ya India dhidi ya kuendelea kutekeleza mauaji ya halaiki dhidi ya Waislamu wa nchi hiyo na kusisitiza kuwa, ukandamizaji unaoendelea kufanyiwa Waislamu katika nchi hiyo ya kusini mwa Asia utapelekea serikali ya New Delhi itengwe katika ulimwengu wa Kiislamu.

  • Baraza la Mamufti Russia lamshukuru Kiongozi Muadhamu kwa kuwatetea Wapalestina

    Baraza la Mamufti Russia lamshukuru Kiongozi Muadhamu kwa kuwatetea Wapalestina

    Mar 01, 2020 04:39

    Baraza la Mamufti la Russia limempongeza na kumshukuru Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Ali Khamenei kwa kutetea haki halali za Wapalestina.

  • Kiongozi Muadhamu apongeza jitihada za wahudumu wa afya nchini za kupambana na Corona

    Kiongozi Muadhamu apongeza jitihada za wahudumu wa afya nchini za kupambana na Corona

    Feb 27, 2020 09:34

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amepongeza jitihada zinazofanywa na maafisa na wahudumu wa afya hapa nchini kwa ajili ya kupambana na virusi vya Corona.

  • Kiongozi Muadhamu ashiriki uchaguzi wa Bunge na wa Baraza la Wanavyuoni Wataalamu + Video

    Kiongozi Muadhamu ashiriki uchaguzi wa Bunge na wa Baraza la Wanavyuoni Wataalamu + Video

    Feb 21, 2020 03:54

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu mapema leo asubuhi, amepiga kura katika dakika za awali kabisa za kuanza zoezi la upigaji kura za uchaguzi wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na uchaguzi mdogo wa Baraza la Wanavyuoni Wataalamu Wanaomchagua na Kusimamia Kazi za Kiongozi Muadhamu.

  • Kiongozi Muadhamu: Muamala wa Karne kamwe hautazaa matunda

    Kiongozi Muadhamu: Muamala wa Karne kamwe hautazaa matunda

    Jan 30, 2020 10:09

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema pendekezo la Marekani lililopewa jina la 'Muamala wa Karne' katu halitazaa matunda kwa Rehema za Mwenyezi Mungu.

  • Maelfu ya Wairani washiriki Sala ya Ijumaa chini ya uimamu wa Kiongozi Muadhamu

    Maelfu ya Wairani washiriki Sala ya Ijumaa chini ya uimamu wa Kiongozi Muadhamu

    Jan 17, 2020 04:27

    Maelfu ya wananchi Waislamu wa Iran wamekusanyika katika eneo la Musalla wa Imam Khomeini (MA) hapa jijini Tehran wakisubiri hotuba na Sala ya Ijumaa zitakazoongozwa na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu.

  • Kiongozi Muadhamu: Iran imejizatiti mkabala wa madola ya kibeberu

    Kiongozi Muadhamu: Iran imejizatiti mkabala wa madola ya kibeberu

    Jan 08, 2020 04:49

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema taifa la Iran limejiandaa na kujizatiti barabara mkabala wa madola ya kibeberu duniani.

  • Kiongozi Muadhamu awaasa Wakristo washikamane na mema

    Kiongozi Muadhamu awaasa Wakristo washikamane na mema

    Dec 25, 2019 04:12

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amewanasihi wafuasi wa dini ya Kikristo wafungamane na vitendo vyema kama walivyoelekezwa na Nabii Issa Masih (AS).

  • Kiongozi Muadhamu akosoa safari ya kinyemela ya Trump nchini Afghanistan

    Kiongozi Muadhamu akosoa safari ya kinyemela ya Trump nchini Afghanistan

    Nov 30, 2019 01:00

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amekosoa vikali safari za kushtukiza na za kificho zinazofanywa na watawala wa Marekani katika nchi za eneo hili la Asia Magharibi kinyume cha sheria.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS