Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kiongozi Muadhamu

  • Kiongozi Muadhamu awaasa Wakristo washikamane na mema

    Kiongozi Muadhamu awaasa Wakristo washikamane na mema

    Dec 25, 2019 04:12

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amewanasihi wafuasi wa dini ya Kikristo wafungamane na vitendo vyema kama walivyoelekezwa na Nabii Issa Masih (AS).

  • Kiongozi Muadhamu akosoa safari ya kinyemela ya Trump nchini Afghanistan

    Kiongozi Muadhamu akosoa safari ya kinyemela ya Trump nchini Afghanistan

    Nov 30, 2019 01:00

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amekosoa vikali safari za kushtukiza na za kificho zinazofanywa na watawala wa Marekani katika nchi za eneo hili la Asia Magharibi kinyume cha sheria.

  • Kiongozi Muadhamu: Kusimama kidete katika njia iliyonyooka, ni kwa maslahi ya taifa na dunia

    Kiongozi Muadhamu: Kusimama kidete katika njia iliyonyooka, ni kwa maslahi ya taifa na dunia

    Oct 19, 2019 09:53

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kusimama kidete katika njia iliyonyooka na ya haki, ni kwa maslahi ya taifa la Iran na dunia yote kwa ujumla.

  • Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu kwa Mahujaji; kujibari na washirikina fursa kwa ajili ya mataifa madhulumu ya Waislamu

    Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu kwa Mahujaji; kujibari na washirikina fursa kwa ajili ya mataifa madhulumu ya Waislamu

    Aug 11, 2019 06:22

    Marasimu ya kujibari na kujiweka mbalii na washirikina yalifanyika jana Jumamosi katika jangwa la Arafa kwa kusomwa ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa Mahujaji wa Nyumba Tukufu ya Mwenyezi Mungu na Waislamu wote.

  • Kiongozi Muadhamu: Muamala wa Karne kamwe hautofikia malengo yake

    Kiongozi Muadhamu: Muamala wa Karne kamwe hautofikia malengo yake

    Jun 05, 2019 03:50

    Kiingozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu sambamba na kusisitiza kwamba mpango unaoitwa 'Muamala wa Karne' hautofikia malengo yake, amepongeza nchi za Kiarabu na kadhalika makundi ya Palestina yaliyopinga mpango huo.

  • Kiongozi Muadhamu: Iran haitaingia vitani wala kufanya mazungumzo na Marekani

    Kiongozi Muadhamu: Iran haitaingia vitani wala kufanya mazungumzo na Marekani

    May 14, 2019 23:28

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amefutilia mbali uwezekano wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuingia vitani na Marekani licha ya kushtadi taharuki baina ya pande mbili na kusisitiza kuwa, Washington inafahamu vyema kuwa, kuingia katika vita na Tehran hakutakuwa na maslahi yoyote kwake.

  • Kiongozi Muadhamu asisitiza kuimarishwa nafasi ya IRGC katika nyuga za ulinzi na ustawi wa utamaduni

    Kiongozi Muadhamu asisitiza kuimarishwa nafasi ya IRGC katika nyuga za ulinzi na ustawi wa utamaduni

    Apr 22, 2019 08:20

    Ayatullah Khamenei, Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote ya Iran siku ya Jumapili katika dikrii alimteua Hussein Salami kuwa Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu.

  • Sisitizo la Kiongozi Muadhamu kuhusu udharura wa kueneza utamaduni na kutekeleza mafundisho ya Qur'ani

    Sisitizo la Kiongozi Muadhamu kuhusu udharura wa kueneza utamaduni na kutekeleza mafundisho ya Qur'ani

    Apr 16, 2019 01:58

    "Kutekeleza mafundisho ya Qur'ani kunaandaa uwanja wa kupatikana izza (heshima), ustawi, maendeleo, nguvu, mshikamano, mtindo mzuri wa maisha katika dunia na kudhaminiwa saada na ufanisi wa Akhera."

  • Kiongozi Muadhamu autangaza Mwaka 1398 Shamsiya kuwa mwaka wa

    Kiongozi Muadhamu autangaza Mwaka 1398 Shamsiya kuwa mwaka wa "kustawi uzalishaji"

    Mar 21, 2019 00:24

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, katika ujumbe kwa munasaba wa kuanza mwaka mpya wa 1398 Hijiria Shamsia, ametuma salamu za pongezi za Nowuruz (Nairuzi) na pia salamu kwa munasaba wa Wilada ya Imam Ali AS kwa wananchi wa Iran na hasa familia za mashahidi na majeruhi wa vita na amelitakia taifa la Iran mwaka wenye furaha, saada, afya ya kimwili na mafanikio ya kimaada na kimaanawi na ameutaja mwaka mpya kuwa mwaka wa "kustawi uzalishaji".

  • Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu kuhusu ulazima wa kuimarishwa uhusiano kati ya Iran na Armenia

    Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu kuhusu ulazima wa kuimarishwa uhusiano kati ya Iran na Armenia

    Feb 28, 2019 11:20

    Katika mazungumzo yake na Waziri Mkuu wa Armenia Nikol Pashinyan, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Armenia ni majirani wema na wenye uhusiano wa kihistoria.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS