-
Kiongozi Muadhamu: Adui anafanya njama za kujipenyeza kisiasa, kiuchumi, kiutamaduni nchini Iran
Dec 14, 2016 00:59Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema, moja ya malengo makuu ya adui ni kujipenyeza kiuchumi, kisiasa na kiutamaduni nchini Iran na anawalenga zaidi vijana na mabarobaro wa taifa hili la Kiislamu.
-
Kiongozi Muadhamu: Kuendeleza vikwazo dhidi ya Iran ni kinyume na JCPOA
Nov 23, 2016 11:50Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, hatua ya kurefusha vikwazo dhidi ya Iran kwa miaka 10 zaidi, bila ya shaka yoyote ni uvunjaji wa makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kwa jina maarufu la JCPOA.
-
Kiongozi: Makundi ya kigaidi kama ISIS yametokana na uingiliaji wa madola makubwa
Nov 22, 2016 13:32Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria matukio machungu na ya kusikitisha katika eneo na nafasi ya baadhi ya madola makubwa katika kulazimisha ukosefu wa uthabiti na vita katika mataifa na kusistiza kuwa: "Jamhuri ya Kiislamu ya Iran daima imekuwa ikitoa wito kwa nchi zenye misimamo huru kuwa na nafasi yenye harakati katika kukabiliana na mashinikizo dhidi ya mataifa na inayataka yasikae kimya na kuwa watazamaji."
-
Ayatullah Khamenei: Iran haina hukumu yoyote kuhusu uchaguzi wa Marekani
Nov 16, 2016 10:55Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei amesisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haina hukumu ya aina yoyote kuhusu uchaguzi wa rais wa Marekani na kuongeza kuwa, Iran daima imekuwa ikishuhudia uadui kutoka kwa vyama viwili vikuu vya Marekani.
-
Kiongozi Muadhamu: Muungano wa Magharibi hauna nia ya kweli ya kuutokomeza ugaidi
Oct 25, 2016 13:14Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema nchi zenye misimamo huru zinapaswa kuimarisha uhusiano baina yao na kutoathiriwa na siasa za madola ya Kiistikbari ili kuweza kuzima moto wa hitilafu na mapigano uliowashwa na madola hayo.
-
Kiongozi: Ni marufuku kwa Serikali, Bunge, Mahakama, vikosi vya ulinzi, kuingilia uchaguzi Iran
Oct 15, 2016 12:28Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametumia haki yake aliyopewa na kifungu nambari 110 cha Katiba, kuwasilisha siasa kuu za uchaguzi baada ya kushauriana na Halmashauri ya Kuainisha Maslahi Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Kiongozi Muadhamu: Usalama ni moja ya nguzo kuu za ustawi na maendeleo ya Iran ya Kiislamu
Oct 04, 2016 11:37Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, amesema usalama ni moja ya nguzo kuu za ustawi na maendeleo ya Iran ya Kiislamu.
-
Kiongozi: Kuwakumbuka mashahidi ni nukta muhimu ya kukabiliana na njama za adui
Oct 02, 2016 10:26Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuhimiza kumbukumbu ya mashahidi ni moja ya nukta muhimu katika kukabiliana na njama za adui na kulinda mapambano katika jamii.
-
Kiongozi Muadhamu: Majeshi ya Iran yawe tayari kukabiliana na adui
Sep 28, 2016 10:26Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuhusu ulazima wa majeshi nchini kujiimarisha kiitikadi, kielimu na kinidhamu sambamba na kuwapa wanajeshi vijana uzoefu wa zama za Kujihami Kutakatifu.
-
Hotuba ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi katika kubainisha tukio la Ghadir
Sep 21, 2016 04:40Kiongozi Maudhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, jana alikutana na maelfu ya wananchi wa matabaka mbalimbali kwa mnasaba wa Sikukuu ya Ghadir Khum ambapo mbali na kutoa mkono wa pongezi, heri na baraka kwa Waislamu alizungumzia umuhimu wa tukio la kihistoria la Ghadir katika pande tofauti.