-
Afungwa jela miezi 13 kwa kuandika sentensi moja ya kuunga mkono Muqawama wa Palestina
Oct 20, 2022 07:31Mahakama ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel imemhukumu Mpalestina mmoja anayeishi katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu kifungo cha miezi 13 jela kwa kuandika mtandaoni sentensi moja ya kuunga mkono muqawama wa Palestina.
-
Israel imewaua shahidi Wapalestina 77 katika kipindi cha miezi sita
Jul 03, 2022 11:15Tokea mwanzo wa mwaka huu wa 2022, hadi sasa utawala wa Kizayuni wa Israel umewaua shahidi Wapalestina 77 wakiwemo watoto 15.
-
Haniya: Njia mwandishi habari Mpalestina aliyeuawa shahidi itaendelea
May 11, 2022 13:05Ismail Haniya, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ameulaani vikali utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kumuua shahidi Shireen Abu Akleh mwandishi habari Mpalestina wa Kanali Al Jazeera.
-
Jinai mpya ya Wazayuni! Wamuua shahidi mwandishi wa al Jazeera kwa damu baridi kabisa!
May 11, 2022 07:46Wanajeshi makatili wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamefanya jinai nyingine ya kumuua kikatili na kidhulma, kwa damu baridi kabisa na kutokea nyuma, mwandishi mashuhuri na nguli wa televisheni ya al Jazeera, Shirin Abu Akleh alipokuwa katikati ya kazi zake kwenye kambi ya Jenin.
-
Zaidi ya Wapalestina 50 wameshauliwa shahidi na Wazayuni tangu mwezi Januari 2022
May 04, 2022 02:36Kituo cha Takwimu cha Palestina kimetoa ripoti maalumu na kusema kuwa, tangu mwezi Januari mwaka huu wa 2022 hadi hivi sasa, utawala wa Kizayuni wa Israel umeshawaua shahidi Wapalestina zaidi ya 50.
-
HAMAS: Kukamata kiholela Wapalestina hakuwezi kulifanya taifa la Palestina liache kupambana na Wazayuni
Feb 24, 2022 08:05Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesisitiza katika taarifa yake kwamba, operesheni ya kuwakamata kiholela Wapalestina katu haiwezi kulifanya taifa la Palestina liachane na mapambano yake dhidi ya Wazayuni maghasibu wanaozikalia kwa mabavu ardhi za Palestina.
-
Utawala ghasibu wa Kizayuni washadidisha kamatamata dhidi ya raia wa Palestina
Jan 19, 2022 10:23Wazayuni maghasibu wamebomoa nyumba kadhaa za raia wa Palestina na kuwatia mbaroni Wapalestina 27 ikiwa ni katika kuendelea uadui na chuki za utawala huo haramu dhidi ya Wapalestina wakazi wa ardhi zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Kuanza uchunguzi wa ICC wa jinai za kivita za utawala wa Kizayuni wa Israel
Mar 05, 2021 10:34Mahakama ya Kimataifa ya Jinai, ICC, imeanzisha uchunguzi kuhusu jinai za kivita zilizofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika ardhi za Palestina unazozikalia kwa mabavu.
-
Mwalimu Mpalestina mkazi wa Ghaza achaguliwa mwalimu bora duniani
Oct 25, 2020 02:37Bi Asma Mustafa, mwalimu wa kike wa shule ya wasichana ya "Halima al Saadiyah" ya kaskazini mwa Ukanda wa Ghaza huko Paletina ameshinda tunzo ya mwalimu boda duniani mwaka huu wa 2020 ijulikanayo kwa jina la AKS Education Award.
-
Wapalestina 27 wauawa shahidi miezi sita ya kwanza mwaka 2020
Jul 27, 2020 07:24Wapalestina 27 wameuawa shahidi kwa kupigwa risasi na wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika nusu ya kwanza ya mwaka huu wa 2020.