-
Njama mpya za Wazayuni zazidi kuwafanya kitu kimoja Wapalestina
Jul 04, 2020 11:47Makundi mbalimbali ya Palestina yamepongeza makubaliano yaliyofikiwa hivi karibuni baina ya harakati za HAMAS na Fat'h na kusema kuwa, hatua hiyo ni muhimu katika kukabiliana na njama mpya za Wazayuni kwenye Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
HAMAS yasisitiza kuachiliwa huru wafungwa wa Kipalestina nchini Saudi Arabia
Mar 23, 2020 08:14Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza juu ya ulazima wa kuachiliwa huru haraka iwezekanavyo wafungwa wa Kipalestina wanaoshikiliwa nchini Saudi Arabia
-
Israel imewakamata Waplestina milioni moja tokea ikalie ardhi zao kwa mabavu
Dec 09, 2019 08:11Taasisi moja ya takwimu Palestina imetangaza kuwa, tokea utawala haramu wa Israel ukalie kwa mabavu ardhi za Palestina mwaka 1948 hadi sasa, Wapalestina wapatao milioni moja wamekamatwa kwa sababu mbali mbali.
-
Wapalestina waliotiwa mbaroni Saudia wakabiliwa na mateso
Oct 22, 2019 03:20Mwanachama wa ngazi ya juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema kuwa raia wa Palestina waliokamatwa nchini Saudi Arabia wanakabiliwa na mateso mbalimbali.
-
Wapalestina 304 wameshauawa shahidi tangu yalipoanza maandamano ya "Haki ya Kurejea"
May 12, 2019 02:36Wizara ya Afya ya Palestina imetangaza kuwa, hadi hivi sasa Wapalestina 304 wameshauawa shahidi kwa kupigwa risasi na wanajeshi makatili wa Israel wakiwemo watoto wadogo 59 na wanawake 10 tangu yalipoanza maandamano ya "Haki ya Kurejea" ya Wapaelstina tarehe 30 Machi mwaka jana 2018.
-
Kuangusha kombora moja la muqawama wa Palestina, kunaigharimu Israel Dola elfu 80
May 07, 2019 13:55Gazeti la utawala haramu wa Israel Hayom limeandika kwamba, utawala huo hauwezi kumudu gharama kubwa ya Kuongoza na kuangusha kila kombora linalovurumishwa kutoka Ukanda wa Gaza.
-
Vijana wawili wa Kipalestina wauawa shahidi kwa kupigwa risasi na Wazayuni
Mar 04, 2019 08:08Vijana wawili wadogo wa Kipalestina wameuawa shahidi kwa kupigwa risasi na wanajeshi wa utawala haramu wa Israel katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Wanajeshi wa Kizayuni wamewasababishia ulemavu Wapalestina 94 katika maandamano ya Haki ya Kurejea
Dec 04, 2018 03:11Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wamesababisha Wapalestina 94 kupata ulemavu tangu mwanzoni mwa maandamano ya Haki ya Kurejea huko Ghaza.
-
Picha ya "Mpalestina Mlemavu Katika Maandamano Makubwa ya Kurejea" yashinda tuzo ya waandishi wa habari za vita
Oct 16, 2018 15:40Picha ya "Mpalestina Mlemavu Katika Maandamano Makubwa ya Kurejea" imeshinda tuzo ya Bayeux Calvados-Normandy kwa waandishi wa habari za vita.
-
Wazayuni wawapiga na kuwatukana wanawake wa Palestina
Aug 21, 2018 07:36Wanajeshi katili wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewapiga na kuwashambulia kwa maneno wanawake kadhaa wa Kipalestina.