-
Mashahidi wa maandamano ya "Haki ya Kurejea" Palestina wamefika 144
Jul 05, 2018 02:40Idadi ya Wapalestina waliouawa shahidi katika maandamano ya "Haki ya Kurejea" tangu yalipoanza tarehe 30 Machi mwaka huu imefikia 144 huku wengine wasiopungua 15,501 wakiwa wamejeruhiwa.
-
Wanachuo 340 wa Kipalestina wanashikiliwa katika magereza ya Israel
Mar 12, 2018 07:51Waziri wa Elimu na Mafunzo wa Palestina ametangaza kuuwa, kwa sasa wanachuo 340 wa Kipalestina wanashikiliwa katika magereza mbalimbali ya utawala haramu wa Israel.
-
Wapalestina 35 wameuawa shahidi tangu Trump aitangaze Beitul-Muqaddas kuwa mji mkuu wa Israel
Mar 01, 2018 07:37Wapalestina 35 wameuawa shahidi na wanajeshi wa utawala dhalimu wa Israel tangu Rais Donald Trump wa Marekani aitangaze Beitul-Muqaddas kuwa mji mkuu wa utawala haramu wa Israel Disemba mwaka jana.
-
Wapalestina 148 wajeruhiwa katika makabiliano na wanajeshi wa Kizayuni
Feb 17, 2018 17:22Wapalestina wasiopungua 148 walijeruhiwa Ijumaa wakati wakikabiliana na wanajeshi wa Utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na Ukanda wa Ghaza.
-
Makumi ya waandishi wa habari wajeruhiwa wakiripoti kadhia ya Quds, Palestina
Dec 27, 2017 15:53Wanajeshi makatili wa Kizayuni ambao wanaikalia kwa mabavu Quds Tukufu yenye Kibla cha Kwanza cha Waislamu wamewashambulia na kuwajeruhiwa waandishi wa habari zaidi ya mia moja tangu lilipozuka wimbi la kulalamikia uamuzi wa rais wa Marekani wa kuitangaza Baytul Muqaddas kuwa mji mkuu wa utawala pandikizi wa Israel.
-
Wapalestina wawili wauawa shahidi katika maandamano ya tatu ya "Ijumaa ya Ghadhabu" ya kupinga uamuzi wa Trump
Dec 23, 2017 02:43Wapalestina wawili wameuliwa shahidi na makumi ya wengine wamejeruhiwa huko Ukanda wa Gaza katika maandamano ya tatu ya "Ijumaa ya Ghadhabu" ya kupinga na kulaani uamuzi wa rais wa Marekani wa kuitangaza Quds kuwa mji mkuu wa Israel.
-
Mkutano wa Umoja wa Kiislamu waunga mkono Intifadha mpya ya Palestina
Dec 08, 2017 11:44Mkutano wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu umemalizika mjini Tehran kwa kutoa taarifa yenye vipengee 26 inayosisitiza kuimarishwa umoja wa Kiislamu kwa ajili ya kupambana na njama za maadui, ikiwemo njama mpya ya Marekani dhidi ya Quds Tukufu.
-
Tamko la kamati ya kuunga mkono Mapinduzi ya Kiislamu ya wananchi wa Palestina la kupinga tangazo la Balfour
Nov 02, 2017 04:11Kamati ya uungaji mkono wa Mapinduzi ya Kiislamu ya wananchi wa Palestina ya ofisi ya Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesisitiza kuwa, tangazo la Balfour ni ushahidi wa wazi wa kuundwa utawala pandikizi wa Israel kwa lengo la kukalia kwa mabavu na kufanya mauaji ya halaiki dhidi ya Wapalestina na kupora ardhi zao.
-
Hamas: Utawala wa Kizayuni ndio unaopata hasara kutokana na umoja wa Wapalestina
Oct 04, 2017 16:22Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, utawala wa Kizayuni ndio unaopata hasara zaidi unapokuwepo umoja na mshikamano kati ya Wapalestina na ndio maana utawala huo wakati wote unafanya njama za kuyazozanisha makundi ya Palestina.
-
Wapalestina 15 wameuawa shahidi tangu Wazayuni walipoanzisha chokochoko mpya Quds Tukufu
Jul 29, 2017 07:58Duru za Palestina zimetangaza kuwa Wapalestina wasiopungua 15 wameuliwa shahidi tangu lilipoanza wimbi jipya la machafuko katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina hususan mji wa Baitul Muqaddas.