-
Wanajeshi wa Israel wazuia sala ya Ijumaa katika Msikiti wa Al Aqsa
Jul 21, 2017 13:36Utawala wa Kizayuni wa Israel umeweka vizingiti chungu nzima kuwazuia Wapalestina kusali sala ya Ijumaa katika msikiti wa al-Aqsa katika mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu huku kijana wa Kiplaestina akifyatuliwa risasi na kuuawa na wanajeshi wa Israel.
-
Wapalestina 90 elfu washiriki Sala ya Idul Fitr katika Msikiti wa Al Aqsa
Jun 25, 2017 14:44Maelfu ya Wapalestina wameshiriki katika Sala ya Idul Fitr katika Msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
-
Wanajeshi wa Israel wawaua shahidi vijana wanne Wapalestina
Jun 17, 2017 07:16Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewapiga risasi na kuwaua vijana wanne Wapalestina.
-
Makundi ya muqawama ya Palestina yalaani msimamo wa Mahmoud Abbas wa kuwa tayari kufanya mazungumzo na Netanyahu
May 11, 2017 14:57Makundi ya muqawama ya Palestina yamelaani na kulalamikia matamshi ya Rais wa Mamlaka ya Ndani Mahmoud Abbas kwamba yuko tayari kukutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Watoto wa Kipalestina waungana kuonyesha mshikamano wao kwa mateka wa Palestina
Apr 20, 2017 14:18Watoto wa Kipalestina wameunda mnyororo wa kibinadamu huko katikati ya mji wa Nablos katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan ili kuonyesha mshikamano wao kwa wafungwa wa Palestina waliogoma kula chakula katika jela za utawala wa Kizayuni.
-
Wanawake wa Ghaza waandamana kuwaunga mkono mateka wa Palestina
Mar 16, 2017 14:41Makumi ya wanawake wa Kipalestina wakazi wa Ukanda wa Ghaza wameandamana katika eneo hilo kuonyesha mshikamamo wao kwa mateka wanawake wa Kipalestina ambao wanashikiliwa katika jela za utawala haramu wa Kizayuni.
-
Askari wa Israel aliyeua Mpalestina afungwa miezi 18
Feb 21, 2017 14:27Askari wa jeshi katili la utawala haramu wa Israel aliyemuua kwa kumfyatuliwa risasi raia wa Palestina, amehukumiwa kifungo cha miezi 18 pekee jela.
-
Wanajeshi wa Israel wamuua shahidi kijana Mpalestina huko Ramallah
Dec 18, 2016 07:36Kijana mmoja Mpalestina ameuawa shahidi katika hujuma ya wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel huko Ramallah katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Hamas yamtaka Mahmoud Abbas asitishe ukandamizaji
Sep 04, 2016 07:30Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetaka kusitishwa ukandamizaji unoafanywa na Mamlaka ya Ndani ya Palestina kwa wanachama wa harakati hiyo.
-
Upinzani wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina kwa muqawama
Sep 04, 2016 03:46Maamuzi ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina dhidi ya muqawama wa wananchi wa Palestina yangali yanaendelea; na katika fremu hiyo mamlaka hiyo inatekeleza saisa za kuwapokonya silaha raia wa Palestina wa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.