Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kirusi cha Zika

  • Kifo cha kwanza cha mgonjwa na virusi vya Corona nje ya China charipotiwa Ufilipino

    Kifo cha kwanza cha mgonjwa na virusi vya Corona nje ya China charipotiwa Ufilipino

    Feb 02, 2020 08:02

    Ufilipino imetangaza mapema leo Jumapili kwamba, imesajili kifo cha kwanza cha mtu aliyekuwa na virusi vya Corona nchini humo. Taarifa hiyo ya serikali ya Ufilipino imetolewa huku nchi mbalimbali duniani zikiwa katika pilikapilika na wasiwasi mkubwa kutokana na kasi ya kusambaa kirusi hicho hatari kinachoendelea kuua watu siku baada ya nyingine.

  • Kirusi cha Corona chafika Imarati, Taiwan na Sudan, idadi ya waliofariki dunia inaongezeka

    Kirusi cha Corona chafika Imarati, Taiwan na Sudan, idadi ya waliofariki dunia inaongezeka

    Jan 29, 2020 10:45

    Kirusi hatari cha Corona kimeripotiwa kufika katika nchi za Imarati na Taiwan huku idadi ya watu wanaofariki dunia na kuambukizwa kirusi hicho ikiongezeka kwa kasi.

  • Nchi za Afrika zachukua tahadhari ya kukabiliana na virusi vya Corona

    Nchi za Afrika zachukua tahadhari ya kukabiliana na virusi vya Corona

    Jan 24, 2020 11:26

    Nchi za Afrika mashariki zimetangaza hatua na mipango ya kukabiliana na virusi vya Corona vinavyosababisha maradhi ya kupumua huku idadi ya watu waliofariki dunia kutokana na mlipuko wa virusi hivyo nchini China ikiongezeka na kufikia 26.

  • "Kirusi cha China" chazusha hofu duniani, watu 6 wameaga dunia hadi sasa

    Jan 21, 2020 09:11

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa, litafanya kikao kesho Jumatano kutazama uwezekano wa kutangaza tahadhari ya kimataifa ya afya ya umma baada ya China kuthibitisha kwamba, kirusi hicho kinaambukizwa kupitia mawasiliano baina ya binadamu.

  • Angola yaripoti kesi mbili za kwanza za ugonjwa wa Zika

    Angola yaripoti kesi mbili za kwanza za ugonjwa wa Zika

    Jan 12, 2017 03:55

    Angola jana ilitangaza kuwa imesajili kesi mbili za awali za kirusi cha Zika, ikiwa imepita miezi mitatu baada ya kudhibitiwa mlipuko wa ugonjwa wa homa ya manjano ambao umeuwa nchini humo watu wasiopungua 400.

  • Kirusi cha Zika chahatarisha maisha ya watu bilioni 2 Afrika na Asia

    Kirusi cha Zika chahatarisha maisha ya watu bilioni 2 Afrika na Asia

    Sep 03, 2016 02:35

    Uchunguzi umebaini kuwa, kirusi cha Zika kinahatarisha maisha ya watu zaidi ya bilioni mbili katika nchi kadhaa za mabara ya Afrika na Asia.

  • Kesi ya kwanza ya Zika yaripotiwa Guinea-Bissau

    Kesi ya kwanza ya Zika yaripotiwa Guinea-Bissau

    Jul 03, 2016 02:59

    Serikali ya Guinea-Bissau imebuni kamati ya dharura ya afya baada ya kuripotiwa kesi tatu za kwanza za kirusi hatari cha Zika.

  • Tahadhari ya WHO kuhusu Zika kwa waendao Olympiki Brazil

    Tahadhari ya WHO kuhusu Zika kwa waendao Olympiki Brazil

    Jun 22, 2016 02:35

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limetoa tahadhari ya afya kwa wote wanaokwenda kwenye mashindano ya Olimpiki nchini Brazili kufuatia mlipuko wa homa ya Zika.

  • Kirusi hatari cha Zika charipotiwa Afrika kwa mara ya kwanza

    Kirusi hatari cha Zika charipotiwa Afrika kwa mara ya kwanza

    May 20, 2016 11:55

    Kirusi hatari cha Zika kimeripotiwa kuibuka barani Afrika kwa mara ya kwanza katika Visiwa vya Cape Verde magharibi mwa bara hilo.

Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS