-
Jumuiya ya Wayahudi wa Iran yataka kulipiza kisasi baada ya Israel kumuua Haniyeh
Aug 04, 2024 02:23Jumuiya ya Wayahudi wa Iran imelaani vikali mauaji yaliyofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya kiongozi wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) Ismail Haniyeh akiwa ugenini mjini Tehran, ikitoa wito wa kulipiza kisasi dhidi ya mauaji hayo.
-
Katika hatua ambayo haijawahi kushuhudiwa, Pompeo kutembelea vitongoji vya walowezi
Nov 13, 2020 07:26Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amepanga kutembelea vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni wa Israel ili kuhalalisha jinai za utawala huo haramu.
-
Mkuu wa jeshi la Israel akiri wameshindwa kulinda usalama wa Wazayuni
Dec 24, 2018 08:20Mkuu wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kuwa utawala huo umeshindwa katika miezi ya hivi karibuni kuwadhaminia usalama wao walowezi wa Kizayuni wanaishi karibu na Ukanda wa Ghaza.
-
OIC yataka kusitishwa ujenzi wa vitongozi vya walowezi wa Kizayuni
Aug 29, 2018 07:46Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imetoa wito wa kusitishwa ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika maeneo ya Wapalestina.