Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

kombora

  • Makombora ya Marekani aina ya 'TOW' yadhibitiwa na jeshi la Syria kutoka ngome za magaidi

    Makombora ya Marekani aina ya 'TOW' yadhibitiwa na jeshi la Syria kutoka ngome za magaidi

    Mar 29, 2019 03:43

    Katika mwenendelezo wa operesheni za jeshi la Syria kwenye maeneo ya kusini mwa nchi hiyo, jeshi hilo limefanikiwa kudhibiti zana na silaha zilizosalia kwa magaidi, yakiwemo makombora aina ya TOW ya Marekani.

  • Mapigo ya makombora ya Wapalestina katika kujibu mashambulio ya Israel

    Mapigo ya makombora ya Wapalestina katika kujibu mashambulio ya Israel

    Mar 08, 2019 04:15

    Vyombo vya habari vya Kizayuni vimethibitisha habari ya mashambulio ya makombora mawili ya Wapalestina yaliyovurumishwa kutoka Ukanda wa Gaza kuelelekea vitongoji vya walowezi wa Kizayuni.

  • Rais Rouhani: Tunajifakharisha kwa makombora yetu ya kiulinzi na kielimu

    Rais Rouhani: Tunajifakharisha kwa makombora yetu ya kiulinzi na kielimu

    Jan 10, 2019 12:33

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, makombora leo hii ni zana ya kujilinda Iran na taifa letu leo hii linajivunia na linaona fakhari kubwa kuwa na nguvu za kiulinzi za makombora.

  • Uwezo wa makombora wa Iran; suala lililo nje ya irada na matakwa ya Marekani

    Uwezo wa makombora wa Iran; suala lililo nje ya irada na matakwa ya Marekani

    Jan 04, 2019 23:10

    Kwa mara nyingine tena, harakati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika maendeleo ya kielimu na kisayansi, ikiwemo kutuma maroketi ya kubebea satalaiti katika anga za mbali na vilevile kustawisha uwezo na nguvu za makombora yake, imewalazimisha viongozi wa Marekani kufungua midomo tena na kuanza kupayuka.

  • Nguvu za makombora za Iran, upeo wa juu wa maendeleo ya kiulinzi ya Jamhuri ya Kiislamu

    Nguvu za makombora za Iran, upeo wa juu wa maendeleo ya kiulinzi ya Jamhuri ya Kiislamu

    Jan 03, 2019 08:08

    Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, miradi ya kiulinzi hususan umakini na uwezo wa hali ya juu wa makombora, umeifanya Iran kuwa taifa lililopiga hatua nzuri sana za kiulinzi.

  • Miaka 40 baada ya Mapinduzi ya Kiislamu, Wamarekani bado wako kwenye ndoto

    Miaka 40 baada ya Mapinduzi ya Kiislamu, Wamarekani bado wako kwenye ndoto

    Dec 13, 2018 03:51

    Sambamba na kutimia miaka 40 tangu baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran, uhasama na uadui wa Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu umefikia kileleni.

  • Iran hufanya majaribio zaidi ya 40-50 ya makombora kila mwaka

    Iran hufanya majaribio zaidi ya 40-50 ya makombora kila mwaka

    Dec 11, 2018 21:42

    Kamanda wa Kitengo cha Angani cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu, IRGC, amezungumzia habari kuhusu Iran kufanya jaribio la kombora la balistiki hivi karibuni na kusema: "Kauli za wakuu wa Marekani ni ishara kuwa, wanalipa umuhimu mkubwa sana suala la majaribio hayo."

  • Korea Kusini yakadhibisha ripoti ya taasisi ya kifikra ya Marekani kuhusu Korea Kaskazini

    Korea Kusini yakadhibisha ripoti ya taasisi ya kifikra ya Marekani kuhusu Korea Kaskazini

    Nov 13, 2018 11:13

    Ofisi ya Rais Moon Jae-in wa Korea Kusini imekadhibisha ripoti ya taasisi ya kifikra ya Marekani ya 'Kituo cha Utafiti wa Kimataifa na Kistratijia' juu ya kuendelea shughuli za makombora ya siri ya Korea Kaskazini.

  • Nasrullah: Kuwa na uhusiano wa kawaida na Israel kunafichua sura halisi za wanafiki

    Nasrullah: Kuwa na uhusiano wa kawaida na Israel kunafichua sura halisi za wanafiki

    Nov 11, 2018 01:08

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kwamba, kuwa na uhusiano wa kawaida nchi za Kiarabu na utawala haramu wa Israel kutafichua sura halisi za wanafiki na wahadaaji.

  • Yemen yaipiga Saudia kwa kombora la balestiki baada ya wavamizi hao kuua Wayemen 8 wa familia moja

    Yemen yaipiga Saudia kwa kombora la balestiki baada ya wavamizi hao kuua Wayemen 8 wa familia moja

    Nov 08, 2018 11:18

    Jeshi la Yemen likishirikiana na wapiganaji wa Kamati za Kujitolea za Wananchi, limevurumisha kombora la balestiki lililotengenezwa nchini humo na kupiga kambi ya mamluki wa Saudi Arabia, katika mkoa wa kaskazini mwa nchi hiyo wa Jawf, na kuangamiza mamluki kadhaa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS