-
Marekani yaendelea kuiunga mkono Saudi Arabia
Mar 23, 2016 10:32Mfalme Salman bin Abdul Aziz wa Saudi Arabia amefanya mazungumzo na ujumbe wa Congresi ya Marekani ambapo pande hizo mbili zimejadili hali ya Mashariki ya Kati husuan Yemen na Syria.
-
The Atlantic: Kerry amekuwa akimtaka sana Obama aishambulie Syria
Mar 16, 2016 13:19Mtandao wa habari wa The Atlantic wa nchini Marekani umefichua kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo amekuwa akimtaka mara kadhaa Rais Barack Obama aishambulie Syria kwa makombora.
-
The Atlantic: Kerry amekuwa akimtaka sana Obama aishambulie Syria
Mar 16, 2016 13:09Mtandao wa habari wa The Atlantic wa nchini Marekani umefichua kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo amekuwa akimtaka mara kadhaa Rais Barack Obama aishambulie Syria kwa makombora.
-
Waislamu Marekani wakosoa chuki ya Warepublican dhidi yao
Mar 11, 2016 12:54Waislamu nchini Marekani, wamesema kuwa maneno ya chuki dhidi ya dini tukufu ya Kiislamu yanayotolewa na viongozi wa chama cha Republican, ndiyo sababu ya kuongezeka hujuma na mashambulizi dhidi ya Waislamu nchini humo.