-
Indhari ya Rais wa Venezuela kuhusu kufikia ubeberu wa Marekani katika hatua hatarishi zaidi
Dec 28, 2022 01:57Rais Nicolas Maduro wa Venezuela ametahadharisha kuwa ubeberu wa Marekani umeingia katika hatua hatarishi zaidi na unajaribu kufanya kila njia ili kuzusha mapigano na kuwasha moto wa vita duniani.
-
Kiongozi wa Korea Kaskazini: Tutatumia silaha za atomiki kujibu vitisho vya atomiki
Nov 19, 2022 07:12Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-Un ameionya Marekani kuwa nchi yake itajibu vitisho vya atomiki kwa silaha za atomiki na makabiliano kwa makabiliano dhidi yake.
-
Kiongozi wa Korea Kaskazini: Hakuna faida ya kufanya mazungumzo na Marekani
Oct 11, 2022 07:23Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-Un amesema hakuna tija itakayopatikana kwa kufanya mazungumzo yoyote yale na Marekani na akabainisha kuwa kwa upande mmoja Washington inazungumzia kufanya mazungumzo na kuanzisha uhusiano; na kwa upande mwingine inatoa vitisho vya operesheni za kijeshi dhidi ya nchi hiyo.
-
Pyongyang yavurumisha tena makombora ya balestiki kujibu chokochoko za US
Oct 06, 2022 07:04Kwa mara nyingine tena, Korea Kaskazini imefyatua makombora yake ya balestiki kuelekea upande wa Japan, kujibu chokochoko mpya za Marekani dhidi ya Pyongyang.
-
Korea Kaskazini yafyatua kombora la balestiki kuelekea Japan
Oct 04, 2022 07:51Korea Kaskazini imefyatua kombora lake la balestiki kuelekea upande wa Japan, na kupelekea kusitishwa kwa usafiri wa treni katika baadhi ya maeneo, huku Wajapani katika maeneo ya kaskazini wakitakiwa kujificha.
-
Korea Kaskazini yajiwekea rekodi ya kufyatua makombora ya balestiki mara tatu ndani ya wiki moja
Sep 30, 2022 07:22Korea Kaskazini imefyatua kombora la balestiki kwa mara ya tatu ndani ya wiki moja mara baada ya kumalizika ziara ya makamu wa rais wa Marekani Kamala Harris nchini Korea Kusini.
-
Kombora jipya la Korea Kaskazini na kiwingu kizito cha vita Kusini Mashariki mwa Asia
Sep 26, 2022 08:20Hatua ya Korea Kaskazini ya kufanyia majaribio kombora lake jipya kuelekea upande wa Bahari ya Japan imepokewa kwa hisia kali na nchi mbili za Japan na Korea Kusini.
-
Korea Kaskazini, dola lenye nguvu za nyuklia
Sep 12, 2022 02:17Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un ametia saini sheria ambayo kwa mujibu wake nchi hiyo sasa inatambuliwa rasmi kuwa ni dola lenye nguvu za kijeshi za nyuklia.
-
Korea Kaskazini: Hatutasalimisha silaha zetu za nyuklia
Sep 10, 2022 02:20Kiongozi wa Korea Kaskazini amesema kamwe Pyongyang haitasalimisha silaha zake za nyuklia au kutumia suala la kuharibu silaha hizo za maangamizi kujadiliana na Marekani.
-
Korea Kusini ina hofu juu ya jaribio la 7 la nyukia linalokaribia kufanywa na Korea Kaskazini
Jul 26, 2022 11:19Korea Kusini imesema, si baidi kwa Korea Kaskazini kufanya jaribio la saba la nyuklia hapo kesho.