-
Korea Kaskazini yaionya Marekani, yasema itaishambulia kwa nyuklia
Jul 27, 2017 00:13Korea Kaskazini imetangaza kuwa, ikiwa Marekani itafanya kosa kuishambulia kwa nyuklia, basi itapata jibu kama hilo.
-
Korea Kaskazini: Kutokuwa na umuhimu Marekani kuwapiga marufuku raia wake kuja kwetu
Jul 25, 2017 23:06Shirika la ustawi wa kieneo la Wonsan Zone Development Corporation la Korea Kaskazini limetangaza kuwa, marufuku iliyotangazwa na Marekani ya kuwazuia raia wake kufanya safari nchini humo, haitakuwa na taathira yoyote kwenye sekta ya utalii.
-
Korea Kaskazini: Wabunge wa Korea Kusini waliotunyooshea kidole, watajuta
Jul 22, 2017 22:19Serikali ya Korea Kaskazini imewatahadharisha wabunge wa Korea Kusini kutokana na hatua yao ya kutoa taarifa ya kulaani majaribio ya hivi karibuni ya kombora yaliyofanywa na Pyongyang, na kusema kuwa, wabunge hao watajutia hatua hiyo.
-
Korea Kaskazini: Matumaini ya Korea Kusini ya kuboreka mahusiano yetu kwa mashinikizo ni upuuzi
Jul 20, 2017 23:08Siku moja baada ya Korea Kusini kutoa pendekezo kwa ajili ya kufikiwa makubaliano na Korea Kaskazini, serikali ya Pyongyang imesema kuwa, matumaini ya Seoul juu ya kuboreka mahusiano ya pande mbili kupitia mashinikizo ni suala la 'kipuuzi.'
-
Japan: Suala la kuzunguza na Korea Kaskazini limepitwa na wakati
Jul 18, 2017 21:57Msemaji wa serikali ya Japan, Norio Maruyama ametaka kuzidishwa mashinikizo dhidi ya Korea Kaskazini akisema kuwa muda wa kufanya mazungumzo na nchi hiyo umepita.
-
Kim Jong-un: Marekani bado haijafahamu vilivyo uwezo wa Korea Kaskazini
Jul 18, 2017 13:05Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un amesema kuwa, vitisho vya hivi karibuni vya Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya nchi yake, ni vya kijinga.
-
Korea Kusini yaipa Pyongyang pendekezo la kufanya mazungumzo mwezi huu ili kupunguza mzozo
Jul 17, 2017 12:36Serikali ya Korea Kusini imetoa pendekezo la kufanya mazungumzo na Pyongyang kwa ajili ya kumaliza mzozo wa kimipaka ndani ya mwezi huu.
-
Korea Kaskazini: Tutatoa jibu kali ikiwa Baraza la Usalama la UN litapitisha vikwazo vipya dhidi yetu
Jul 15, 2017 02:35Serikali ya Korea Kaskazini imetangaza kuwa, ikiwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa litapitisha vikwazo vipya dhidi yake, basi itachukua hatua za lazima kukabiliana na hali hiyo.
-
Wakorea Kusini: Tutaendeleza maandamano hadi US iondoe ngao yake nchini kwetu
Jul 14, 2017 09:56Sambamba na kumbukumbu ya mwaka wa kwanza wa makubaliano kati ya Korea Kusini na Marekani kwa ajili ya kuwekwa ngao ya makombora ya Marekani aina ya THAAD nchini humo, raia wa Korea Kusini wamefanya maandamano makubwa katika miji mbalimbali wakipinga mpango huo.
-
Japan: Tutaishawishi Russia isaidie katika kutatua mgogoro wa eneo la Korea
Jul 11, 2017 03:32Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Japan, Norio Maruyama amesema kuwa, Tokyo na washirika wake wataishawishi Russia ili iweze kushiriki katika kutatuliwa mgogoro wa eneo la Korea.