Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Korea Kaskazini

  • Trump: Ni lazima China ichukue hatua kali dhidi ya Korea Kaskazini

    Trump: Ni lazima China ichukue hatua kali dhidi ya Korea Kaskazini

    Jul 04, 2017 08:15

    Rais Donald Trump wa Marekani ameitaka Uchina kuchukua uamuzi mgumu kuhusiana na hatua ya Pyongyang ya kuvurumisha kombora jipya la balestiki mapema leo.

  • Pyongyang: Komandi ya kijeshi ya askari wa kimataifa mjini Seoul, ivunjwe

    Pyongyang: Komandi ya kijeshi ya askari wa kimataifa mjini Seoul, ivunjwe

    Jul 03, 2017 04:22

    Serikali ya Korea Kasakazini imetoa pendekezo la kuvunjwa kituo kikuu cha kijeshi kwa ajili ya askari wa mataifa tofauti iliyo chini ya Umoja wa Mataifa huko Seoul, mji mkuu wa Korea Kusini ivunjwe.

  • Pyongyang: Vitisho vya Marekani haviwezi kutuzuia kujiimarisha kwa nyuklia

    Pyongyang: Vitisho vya Marekani haviwezi kutuzuia kujiimarisha kwa nyuklia

    Jun 29, 2017 14:19

    Balozi wa Korea Kaskazini katika Umoja wa Mataifa ameiambia Marekani na washirika wake kwamba, Pyongyang itaendelea kujiimarisha kwa silaha za nyuklia na haitojali vikwazo, mashinikizo na vitisho vya Washington na washirika wake vya kuishambulia kijeshi nchi hiyo.

  • Pyongyang: Trump anatekeleza siasa zile zile za Adolf Hitler wa Ujerumani

    Pyongyang: Trump anatekeleza siasa zile zile za Adolf Hitler wa Ujerumani

    Jun 27, 2017 15:08

    Serikali ya Korea Kaskazini imesema kuwa, Rais Donald Trump wa Marekani anatekeleza siasa zile zile za Adolf Hitler, kiongozi wa zamani wa Kinazi nchini Ujerumani.

  • Korea Kusini: Pyongyang iwaachilie huru watu wetu na Wamarekani inaowashikilia

    Korea Kusini: Pyongyang iwaachilie huru watu wetu na Wamarekani inaowashikilia

    Jun 26, 2017 08:00

    Waziri Mkuu wa Korea Kusini ameitaka serikali ya Korea Kaskazini kuwaalichilia huru raia wa nchi hiyo na wale wa Marekani ambao wanashikiliwa na serikali ya Pyongyang.

  • Pyongyang: Maafisa Usalama wa Marekani wamewadhalilisha wanadiplomasia wetu

    Pyongyang: Maafisa Usalama wa Marekani wamewadhalilisha wanadiplomasia wetu

    Jun 20, 2017 02:32

    Serikali ya Korea Kaskazini imetangaza kuwa, maafisa usalama wa Marekani wamewavunjia heshima wanadiplomasia wa nchi hiyo kwa kuwasimamisha na kupekua mabegi yao kwa nguvu katika uwanja wa ndege wa John F. Kennedy nchini Marekani.

  • Marekani: Tunaweza kushinda vita na Pyongyang, lakini vitakuwa msiba mkubwa

    Marekani: Tunaweza kushinda vita na Pyongyang, lakini vitakuwa msiba mkubwa

    Jun 17, 2017 04:24

    Waziri wa Ulinzi wa Marekani James Mattis amesema kuwa, Washington na washirika wake wanaweza kushinda vita dhidi ya Korea Kaskazini, lakini vita hivyo vitasababisha msiba mkubwa kwa raia wa eneo zima la Korea.

  • Korea Kaskazini inaandaa silaha ya kuifuta kabisa Marekani kwenye uso wa dunia

    Korea Kaskazini inaandaa silaha ya kuifuta kabisa Marekani kwenye uso wa dunia

    Jun 06, 2017 14:19

    Gazeti rasmi la Korea Kaskazini la Minchu Chosun limeandika kuwa, hivi sasa Pyongyang inaendelea na maandalizi ya kuunda silaha yenye uwezo wa kuifuta kabisa Marekani kwenye uso wa dunia kutokana na Washington kuendelea kujizatiti katika eneo la Peninsula ya Korea.

  • Korea Kaskazini: Marekani ndiyo iliyounda makundi ya kigaidi Mashariki ya Kati

    Korea Kaskazini: Marekani ndiyo iliyounda makundi ya kigaidi Mashariki ya Kati

    Jun 06, 2017 03:17

    Balozi wa Korea Kaskazini anayehusika na masuala ya nchi za Kiarabu za eneo la Ghuba ya Uajemi amekosoa vikali siasa za uhasama za serikali ya Marekani katika eneo la Mashariki ya Kati na kubainisha kuwa, Washington ndiyo inayohusika na uundwaji wa makundi yote ya kigaidi katika eneo.

  • Korea Kusini: Urushaji makombora wa Korea Kaskazini unatuweka katika mashinikizo

    Korea Kusini: Urushaji makombora wa Korea Kaskazini unatuweka katika mashinikizo

    May 30, 2017 04:30

    Jeshi la Korea Kusini limesema kuwa, urushaji makombora unaofanywa na Korea Kaskazini unaiweka Seoul katika mashinikizo kwa ajili ya kubadili siasa za nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS