-
Hatimaye Rais wa Korea Kusini aliyeuzuliwa akamatwa, tukio la kwanza katika historia ya nchi hiyo
Jan 15, 2025 11:23Rais wa Korea Kusini Yoon Suk-yeol ametiwa mbaroni kwa jaribio lake lililofeli la kuweka sheria ya kijeshi, baada ya mamia ya maafisa wa kupambana na ufisadi na polisi kuvamia makazi yake na kuhitimisha mzozo uliodumu kwa wiki kadhaa.
-
Bunge la Korea Kusini lapitisha sheria inayopiga marufuku ulaji wa nyama ya mbwa
Jan 10, 2024 06:18Bunge la Korea Kusini limepiga kura kupitisha sheria inayopiga marufuku uuzaji na ulaji wa nyama ya mbwa, ambao uliwahi kuwa mwenendo uliozoeleka na kuenea sana katika nchi hiyo ya Asia Mashariki.
-
Manuva ya pande tatu ya Korea Kusini, Japan na Marekani
Dec 22, 2023 09:28Korea Kusini, Japan na Marekani zimefanya manuva ya pamoja ya anga. Inasemekana kuwa zoezi hilo la kijeshi limefanyika katika kujibu jaribio la kombora la masafa marefu lililofanywa hivi karibuni na Korea Kaskazini katika anga ya Peninsula ya Korea.
-
Korea Kaskazini yatishia kuishambulia manowari ya kubebea ndege za kivita ya Marekani
Oct 15, 2023 02:32Korea Kaskazini imeitishia Marekani kwamba itaanzisha "shambulio kali zaidi na la haraka zaidi la kujikinga" dhidi ya zana za kijeshi za nchi hiyo, ikiwa ni pamoja na meli yake ya kivita ya nyuklia iliyoko kwenye maji ya Peninsula ya Korea.
-
Kuendelea harakati hatari za kijeshi za Marekani barani Asia
Jun 18, 2023 10:26Sera hatari za kijeshi na za kichochezi za Marekani katika bara kubwa duniani yaani bara la Asia zingali zinaendelea.
-
Idadi ya watu nchini Korea Kusini yapungua kwa mwaka wa tatu mfululizo
Jan 15, 2023 10:48Idadi ya watu nchini Korea Kusini imepungua mwaka 2022 kwa mwaka wa tatu mfululizo.
-
Korea Kaskazini yajiwekea rekodi ya kufyatua makombora ya balestiki mara tatu ndani ya wiki moja
Sep 30, 2022 07:22Korea Kaskazini imefyatua kombora la balestiki kwa mara ya tatu ndani ya wiki moja mara baada ya kumalizika ziara ya makamu wa rais wa Marekani Kamala Harris nchini Korea Kusini.
-
Mikrofoni yamnasa rais wa Korea Kusini akiwatusi wabunge wa US kwa kuwaita "wapumbavu"
Sep 26, 2022 11:36Rais Yoon Suk-yeol wa Korea Kusini amesema ripoti za vyombo vya habari kuhusu matamshi aliyotoa wakati wa safari yake mjini New York, si sahihi.
-
Kombora jipya la Korea Kaskazini na kiwingu kizito cha vita Kusini Mashariki mwa Asia
Sep 26, 2022 08:20Hatua ya Korea Kaskazini ya kufanyia majaribio kombora lake jipya kuelekea upande wa Bahari ya Japan imepokewa kwa hisia kali na nchi mbili za Japan na Korea Kusini.
-
Korea Kusini ina hofu juu ya jaribio la 7 la nyukia linalokaribia kufanywa na Korea Kaskazini
Jul 26, 2022 11:19Korea Kusini imesema, si baidi kwa Korea Kaskazini kufanya jaribio la saba la nyuklia hapo kesho.