-
Iran inajiandaa kujibu mapigo ya kuwekewa vikwazo na Umoja wa Ulaya
Feb 21, 2023 00:09Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema ndani ya siku chache zijazo itatoa jibu la vikwazo vya hivi karibuni vilivyowekwa na Umoja wa Ulaya dhidi ya shakhsia 32 na taasisi mbili za Jamhuri ya Kiislamu.
-
Syria yakosoa 'upotoshaji' wa Marekani kuhusu kuondoa vikwazo
Feb 11, 2023 23:05Serikali ya Syria imekosoa vikali hatua ya Marekani ya kutangaza kuisimamishia vikwazo nchi hiyo ya Kiarabu kwa muda wa miezi sita, eti ili kuruhusu kupelekwa misaada ya dharura katika taifa hilo lililokumbwa na mitetemeko mikubwa ya ardhi hivi karibuni.
-
Sudan yautaka Umoja wa Mataifa uiondolee haraka vikwazo vya silaha
Feb 04, 2023 03:40Sudan inalitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa liifutie nchi hiyo vikwazo vya silaha haraka iwezekanavyo, vilivyowekwa mwaka 2005 kutokana na vita katika eneo la Darfur, magharibi mwa nchi.
-
Russia: Vikwazo vya Magharibi vimeshadidisha hali mbaya ya kibinadamu Syria
Jan 11, 2023 07:39Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Russia katika Umoja wa Mataifa amesema Wamagharibi wanabeba dhima ya kushtadi hali mbaya ya kibinadamu nchini Syria kutokana na vikwazo vyao vya upande mmoja.
-
Raisi: Mafanikio ya sekta ya anga za mbali ya Iran ni ithibati ya kufeli kwa vikwazo
Jan 05, 2023 03:49Rais wa Iran amesema mafanikio ya Jamhuri ya Kiislamu katika sekta ya anga za mbali ni ishara tosha ya kufeli na kugonga mwamba vikwazo vya Wamagharibi na njama zao za kutaka kulitenga taifa hili.
-
Zimbabwe kuwaadhibu wananchi wasio na 'uzalendo'
Nov 23, 2022 23:01Serikali ya Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe imeudhinisha muswada wa sheria ya kuwaadhibu wananchi wasio wazalendo, ikiwa ni sehemu ya kukabiliana na vikwazo vya kiuchumi dhidi ya taifa hilo la kusini mwa Afrika.
-
Tehran yalaani vikwazo vipya vya EU dhidi ya Iran
Nov 15, 2022 03:52Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikwazo vipya vilivyotangazwa na Umoja wa Ulaya dhidi ya shakhsia 29 na taasisi tatu za Kiirani, ikiwemo kanali ya televisheni ya Press TV.
-
Iran: Vikwazo kwa wazalishaji gesi kuwa na matokeo hasi
Oct 25, 2022 23:02Waziri wa Mafuta wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametahadharisha kuwa, hatua ya Wamagharibi ya kuziwekea vikwazo nchi zinazozalisha na kuuza nje ya nchi gesi itakuwa na matokeo hasi yasiyoweza kurekebishika.
-
China yapinga vikwazo haramu na vya upande mmoja vya EU dhidi ya Iran
Oct 24, 2022 00:31China imepinga na kukosoa vikali hatua ya Umoja wa Ulaya ya kuiwekea Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vikwazo ilivyovitaja kuwa haramu na vya upande mmoja.
-
Iran: Vikwazo vya EU havina maana, ghasia haziruhusiwi popote duniani
Oct 18, 2022 00:13Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema ghasia, fujo na kuharibu mali za umma ni mambo yasiyokubalika katika sehemu yoyote ile duniani.