-
Iran: Magharibi inalipiza kisasi kwa kuwaua kwa umati wagonjwa Wairani
Oct 10, 2022 03:58Msemaji wa Serikali ya Iran amelaani vikwazo shadidi vya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu na kueleza kuwa, "Wamagharibi wanalipiza kisasi dhidi ya Wairani, kwa kuanzisha kampeni ya mauji ya kimbari dhidi ya wagonjwa wa nchi hii."
-
Abdollahian: Hatua za kuondolewa Iran vikwazo zipo katika mkondo sahihi
Oct 03, 2022 23:46Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema mazungumzo ya uondoaji vikwazo haramu ilivyowekewa Iran yanaendelea vizuri, na kwamba hatua za kuondolewa vikwazo hivyo zipo katika mkondo sahihi.
-
Syria: Vikwazo ndiyo aina mbaya zaidi ya ugaidi
Sep 06, 2022 21:52Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria amevitaja vikwazo kama uhaini na aina mbaya zaidi ya ugaidi duniani.
-
Ulyanov: Vikwazo dhidi ya Iran vitaondolewa karibuni
Aug 16, 2022 03:04Mwakilishi wa Kudumu wa Russia katika Taasisi za Kimataifa zenye makao yao mjini Vienna, Austria amesema yumkini vikwazo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vitaondolewa karibuni hivi.
-
China: Vikwazo vya US vimeisababishia Iran hasara ya dola bilioni 200
Aug 12, 2022 21:00China imesema vikwazo haramu na vya upande mmoja vya Marekani dhidi ya Iran vimelisababishia taifa hili la Kiislamu hasara ya mabilioni ya dola.
-
China yaitaka Marekani iiondolee Iran vikwazo haramu
Aug 03, 2022 07:27Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Kudhibiti Silaha katika Wizara ya Mambo ya China ameitaka Marekani iiondolee Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vikwazo haramu.
-
Waziri Mkuu wa Hungary: Vikwazo dhidi ya Russia vimefeli
Jul 24, 2022 03:03Waziri Mkuu wa Hungary amekiri kuwa vikwazo shadidi vya Wamagharibi dhidi ya Russia vimefeli na kugonga mwamba, na kusisitiza kwamba serikali za nchi za Ulaya zinaporomoka.
-
Jenerali Baqeri: Vikosi vya Iran vimekuwa na nafasi kubwa kusambaratisha vikwazo
Jul 21, 2022 08:42Kamanda Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya Iran amesema vikosi vya ulinzi na usalama vya Jamhuri ya Kiislamu vimekuwa na nafasi muhimu katika kuvunja nguzo za kampeni ya maadui ya mashinikizo ya kiwango cha juu dhidi ya taifa hili.
-
Kamanda: Vikosi vya Jeshi la Iran vinaendelea kuimarika licha ya vikwazo
Jul 14, 2022 21:58Kamanda Mkuu wa Kikosi cha Anga cha Jeshi la Nchi Kavu la Iran amesema vikosi vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu vinendelea kuimarika na kupata nguvu zaidi siku baada ya siku, licha ya vikwazo na mashinikizo ya kiuchumi dhidi ya taifa hili.
-
Marekani yatangaza vikwazo vipya dhidi ya sekta ya mafuta ya Iran
Jul 06, 2022 23:03Wizara ya Fedha ya Marekani imeendeleza uraibu wa nchi hiyo wa kuziwekea vikwazo nchi mbalimbali kwa kutangaza vikwazo vipya dhidi ya sekta ya mafuta na petrokemikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.