-
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Tunisia anusurika kuuawa na magaidi
Mar 27, 2022 03:30Waziri wa Mambo ya Ndani wa Tunisia, Taoufik Charfeddine amenusurika kuuawa katika shambulio linaloaminika kuwa la kigaidi.
-
SADC yaafiki mpango wa kutuma wanajeshi nchini Msumbiji
Jun 24, 2021 02:54Nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika SADC zimeafikiana juu ya mpango wa kutuma wanajeshi nchini Msumbiji kuisaidia Maputo kupambana na magenge ya magaidi na waasi huko kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Kushadidi harakati za ugaidi eneo la Afrika Magharibi
Jun 08, 2021 11:23Katika wiki za hivi karibuni kumeshuhudiwa kushadidi Harakati za makundi ya kigaidi katika eneo la Afrika Magharibi hasa Nigeria na nchi jirani. Katika hatua ya hivi kairbuni kabisa magaidi walishambulia kijiji kaskazini mwa Burkina Faso na kuua raia zaidi ya 160 huku wakitetekteza nyumba na masoko. Umoja wa Mataifa umetoa taarifa na kulaani hujuma hiyo ambayo imepelekea idadi kubwa ya raia kuuawa kwa umati.
-
Kuanza kikao cha kundi la nchi 5 za Sahel Afrika huko Chad
Feb 16, 2021 22:54Kikao cha kundi la nchi 5 za Sahel Afrika kimeanza katika mji mkuu wa Chad N’Djamena kwa kuhudhuriwa na viongozi wa Ufaransa na wa mataifa ya magharibi wa Afrika.
-
Kadhaa wauawa katika makabiliano baina ya Jeshi la Algeria na genge la kigaidi
Jan 04, 2021 12:09Wanamgambo wawili na mwanajeshi mmoja wameuawa katika makabiliano baina ya maafisa usalama na genge moja la kigaidi huko kaskazini magharibi mwa Algeria.
-
Kamanda Soleimani, shujaa wa dunia katika vita dhidi ya ugaidi
Jan 02, 2021 03:56Leo Jumamosi, tarehe pili Januari 2021 inayosadifiana na tarehe 13 Dei 1399 mwaka wa Kiirani wa Hijria Shamsia, inasadifiana na mwaka mmoja tangu alipouawa shahidi na kidhulma, Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH.
-
UN: Magaidi na wenye chuki wanatumia janga la corona kuendeleza ajenda zao
Jul 07, 2020 02:53Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema magenge ya kigaidi na makundi ya kibaguzi na yenye misimamo mikali yanatumia janga la kimataifa la corona kuendeleza ajenda zao hususan kupanda mbegu za chuki na uhasama katika jamii.
-
Magaidi 21 waliopanga kuvuruga sherehe za Iddi wauawa Sinai, Misri
May 24, 2020 05:15Wizara ya Mambo ya Ndani ya Misri imetangaza habari ya kuuawa wanachama 21 wa genge moja la kigaidi katika operesheni mbili tofauti zilizofanyika katika Peninsula ya Sinai.
-
Washukiwa 44 wa Boko Haram wapatikana wameaga dunia gerezani Chad
Apr 18, 2020 23:09Makumi ya washukiwa wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram wameaga dunia katika mazingira ya kutatanisha gerezani nchini Chad.
-
Askari polisi na magaidi 7 wauawa kwenye makabiliano Misri
Apr 15, 2020 03:36Afisa wa polisi wa Misri na washukiwa saba wa genge la kigaidi wameuawa katika makabiliano ya risasi baina ya pande mbili hizo jijini Cairo.