-
Magaidi 17 waangamizwa katika mkoa wa Sinai, Misri
Feb 12, 2020 04:02Wizara ya Mambo ya Ndani ya Misri imetangaza habari ya kuuawa wanachama 17 wa genge moja la kigaidi katika mji wa al-Arish, katika mkoa wa Sinai Kaskazini.
-
London: Kuna washukiwa wa ugaidi 3000 nchini Uingereza
Feb 06, 2020 21:39Mkuu wa Jeshi la Polisi la Kupambana na Ugaidi nchini Uingereza amesema kuwa uwepo wa washukiwa 3000 wa hujuma za kigaidi nchini humo, unatia wasi wasi mkubwa.
-
Kuongezeka harakati za makundi ya kigaidi magharibi mwa Afrika
Dec 28, 2019 23:22Makundi ya kigaidi ya Boko Haramu na Daesh yamezidisha harakati zao katika eneo la magharibi mwa Afrika.
-
Al Muallem na Pedersen wasisitiza kupiga hatua mazungumzo ya kamati ya katiba ya Syria
Sep 23, 2019 23:23Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria na Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Syria wamechukunguza masuala yaliyosalia kuhusu uundaji wa kamati ya katiba, utaratibu na hatua zinazopaswa kuchukuliwa katika uwanja huo.
-
Juhudi za Afrika kwa ajili ya kupambana na ugaidi
Sep 15, 2019 22:05Kufuatia kuongezeka mashambulizi ya ugaidi katika nchi za Kiafrika, hususan eneo la Sahel, viongozi wa eneo la magharibi mwa bara hilo, wametenga kiasi cha Dola bilioni moja kwa ajili ya kukabiliana na tishio linaloongezeka la harakati za makundi yenye kufurutu ada katika eneo.
-
Nchi za magharibi mwa Afrika kuchangishana fedha za kupambana na ugaidi
Sep 15, 2019 07:47Nchi za Magharibi mwa Afrika zimefikia uamuzi wa kuchingashana fedha na kuwa na mfuko maalumu wenye akiba ya dola bilioni moja kwa ajili ya kuendesha mapambano dhidi ya ugaidi.
-
Kadhaa wauawa katika makabaliano baina ya askari wa Misri na magaidi, Sinai
Sep 15, 2019 02:46Vyombo vya usalama vya Misri vimetangaza habari ya kuuawa watu kadhaa katika makabiliano baina ya wanajeshi wa serikali ya nchi hiyo na wanamgambo huko kaskazini mwa mkoa wa Sinai.
-
Hatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Marekani ni kinara wa tawala za kigaidi duniani
Aug 30, 2019 07:29Hatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema kuwa, Marekani ni kinara wa tawala za kigaidi kote duniani na kwamba, baada ya maafisa wa serikali ya Washington kukiri kwamba nchi hiyo ndiyo iliyoanzisha makundi ya kigaidi katika eneo la Mashariki ya Kati, ni aibu kubwa kwa Marekani kudai kuwa inapambana na ugaidi.
-
AU: Vijana wahusishwe ipasavyo katika vita dhidi ya ugaidi
Jul 11, 2019 21:57Mjumbe wa Umoja wa Afrika ametoa mwito wa kushirikishwa vijana barabara katika mapambano dhidi ya ugaidi.
-
Makumi ya magaidi wauawa na jeshi la Misri Peninsula ya Sinai
May 16, 2019 22:02Jeshi la Misri limeangamiza magaidi 47 wenye mfungamano na kundi la kigaidi la Daesh katika operesheni ya vikosi vya usalama vya nchi hiyo katika mkoa wa Sinai Kaskazini.