-
Sababu ya Saudi Arabia ya kutofungamana na madai yake ya usitishaji vita nchini Yemen
Apr 24, 2020 05:11Tarehe 9 Aprili Saudi Arabia ambayo ni kinara wa muungano wa kijeshi dhidi ya Yemen ilitangaza habari ya usitishaji vita wa upande mmoja kwa muda wa majuma mawili huko Yemen.
-
Saudi Arabia na usitishaji vita nchini Yemen
Apr 10, 2020 06:10Saudi Arabia imetangaza kuanza usitishaji vita wa wiki mbili huko Yemen hata hivyo nchi hiyo ilikiuka usitishaji vita huo katika masaa ya awali tu ya kuanza kutekelezwa.
-
UN yapongeza usitishaji vita Yemen, yataka uheshimiwe
Apr 09, 2020 22:00Mwakilishi maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Yemen pamoja na Katibu Mkuu wa Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi wamepongeza uamuzi wa kusitisha vita na mapigano nchini Yemen.
-
Kuanza operesheni ya "Dhoruba ya Amani" ya vikosi vya Serikali ya Maafikiano ya Kitaifa ya Libya dhidi ya wapiganaji wa Haftar
Mar 26, 2020 22:04Licha ya mgogoro wa virusi vya Corona na takwa la jamii ya kimataifa la kusimamishwa vita katika mataifa yenye mapigano na machafuko, lakini vikosi vya Serikali ya Maafikiano ya Kitaifa ya Libya vimeanzisha operesheni mpya iliyopewa jina la "Dhoruba ya Amani" dhidi ya wapiganaji wa kundi linalojiita Jeshi la Taifa la Libya (LNA) linaloongozwa na jenerali muasi Khalifa Haftar.
-
Yemen yakaribisha uamuzi wa muungano wa kijeshi wa Saudia wa kuafiki kusitisha mapigano
Mar 26, 2020 03:29Mkuu wa Kamati Kuu ya Mapinduzi ya Yemen amekaribisha uamuzi uliotangazwa na muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia wa kuafiki pendekezo la Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa la kusitisha vita na kupunguza mivutano nchini Yemen ili kusaidia mapambano dhidi ya maambukizi ya kirusi cha corona.
-
Kukaribisha Umoja wa Mataifa makubaliano ya usitishaji vita katika vita vya ndani nchini Libya
Mar 24, 2020 09:00Vita vya ndani nchini Livya viliibua wasiwasi mkubwa kufuatia mashambulio ya mara kwa mara ya Jeshi la Taifa la Libya linaloongozwa na jenerali Khalifa Haftar yaliyoanza Aprili mwaka jana kwa shabaha ya kuiangusha Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa.
-
Saudia yaendelea kukiuka makubaliano ya Stockholm, UN yashikwa na kigugumizi
Mar 10, 2020 03:09Saudi Arabia inaendelea kukiuka makubaliano ya kusitisha vita katika eneo la al Hudaydah nchini Yemen huku Umoja wa Mataiifa, badala ya kulaani kitendo hicho, umelitaka jeshi na Yemen na wapiganaji wa harakati ya Ansarullah waache kusonga mbele katika mikoa ya al Jawf na Ma'rib.
-
Kutangaza utayari Khalifa Haftar wa kukubali usitishaji vita kwa masharti nchini Libya
Feb 23, 2020 03:33Katika hali ambayo, vita nchini Libya vinaendelea na Waziri Mkuu wa Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa Fayez al-Sarraj amesitisha ushiriki wake katika mazungumzo ya Geneva akilalamikia kuendelea mashambulio ya vikosi vya Khalifa Haftar, jenerali huyo muasi ametangaza utayari wake wa kuheshimu usitishaji vita lakini kwa masharti.
-
Mgogoro wa Libya na jitihada za kuutafutia ufumbuzi
Jan 22, 2020 22:56Nchi ya Libya imo katika siku ngumu na mgogoro mkubwa, na vita na mapigano makali yameendelea kushuhudiwa nchini humo licha juhudi kubwa za kimataifa zinazofanyika kwa ajili ya kupata ufumbuzi wa mgogoro huo.
-
Muhammad Al Houthi amkosoa Mjumbe Maalumu wa UN katika masuala ya Yemen
Nov 14, 2019 21:53Mkuu wa Kamati Kuu ya Mapinduzi ya Yemen amekosoa juhudi za Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Yemen kwa ajili ya kuitisha mazungumzo kati ya harakati ya Ansarullah na muungano vamizi wa Saudi Arabia.