-
"Saudia, UAE, Qatar, Kuwait zapiga marufuku ndege za US kufanya mashambulio"
Apr 03, 2025 02:34Saudi Arabia na mataifa mengine ya Ghuba ya Uajemi yamepiga marufuku ndege za kivita za Marekani kutumia viwanja vyake vya ndege au anga zao kufanya mashambulizi dhidi ya Yemen.
-
Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi lataka kukomeshwa vita dhidi ya Gaza
Dec 02, 2024 07:06Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi limetoa mwito wa kusitishwa mara moja uvamizi wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Kuwait yakanusha uvumi wa kuupelekea silaha utawala wa Kizayuni
Oct 22, 2024 03:22Makao Makuu ya jeshi la Kuwait yamekanusha uvumi kwamba yanahamisha silaha kutoka kambi za kijeshi ndani ya nchi hiyo na kuupelekea utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Abbas Araghchi: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaunga mkono Cuba dhidi ya vikwazo vya Marekani
Sep 22, 2024 07:20Abbas Araghchi, Waziri Mambo ya Nje wa Iran amesema, Jamhuri ya Kiislamu ikiwa mmoja wa wahanga wakuu wa vikwazo vya Marekani, inaelewa kikamilifu hali ya watu wa Cuba, hivyo inaiunga mkono nchi hiyo dhidi ya vikwazo vya nchi hiyo ya Magharibi.
-
Iran yalaani ukandamizaji unaofanywa na Serikali ya Marekani dhidi ya wanafunzi wanaoitetea Palestina
May 04, 2024 03:13Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran Nasser Kan'ani amelaani hatua ya vyombo vya dola vya Marekani ya kukandamiza kwa mkono wa chuma maandamano ya wanafunzi wanaoitetea na kuiunga mkono Palestina yanayofanyika kwenye maeneo ya vyuo vikuu vya nchi hiyo.
-
Amiri wa Kuwait afariki akiwa na miaka 86; kakake wa kambo amrithi
Dec 16, 2023 13:26Amiri wa Kuwait Sheikh Nawaf al-Ahmad al-Jaber al-Sabah amefariki dunia leo akiwa na umri wa miaka 86.
-
Kuwait yaungana na mataifa mengine kulaani kuvunjiwa heshima Qur'ani huko Sweden
Oct 02, 2023 07:12Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Kuwait imelaani vikali kuvunjiwa heshima tena kitabu kitakatifu cha Qur'ani huko nchini Sweden.
-
Waziri Mkuu wa Kuwait asisitiza umuhimu wa kadhia ya Palestina
Sep 22, 2023 11:33Waziri Mkuu wa Kuwait Ahmad Nawaf Al-Ahmad Al-Sabah amesisitiza kuwa Palestina ni moja ya masuala muhimu katika ulimwengu wa Kiislamu na ulimwengu wa Kiarabu.
-
Kuwait yakaribisha hatua ya Denmark dhidi ya wanayoivunjia heshima Qur'ani
Aug 27, 2023 02:50Waziri wa Mambo ya Nje wa Kuwait amekaribisha uamuzi uliochukuliwa na Denmark kuhusu vitendo vya kuivunjia heshima Qur'ani tukufu.
-
Iran iimethibitisha kivitendo mapenzi yake ya kidugu kwa majirani na Waislamu wenzake
Aug 12, 2023 12:55Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika kikao cha Jumuiya ya Urafiki baina ya Iran na Kuwait kwamba, Tehran imethibitisha kivitendo mapenzi yake ya kidugu kwa majirani na Waislamu wenzake kwenye migogoro na hali ngumu zinazotokea.