-
Mohammadi-Golpayegani: Maadui hawawezi kulikatisha tamaa taifa la Iran kwa kufanya mauaji
Jun 09, 2017 10:55Mkuu wa ofisi ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, hatua ya maadui ya kufanya mauaji katu haiwezi kulikatisha tamaa taifa la Iran.
-
Spika wa Bunge la Iran: Utambulisho wa Israel ni tishio kwa mataifa yote
May 30, 2017 00:00Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, utambulishi wa uvamizi na ubaguzi wa utawala haramu wa Israel ni tishio kwa mataifa yote ya Mashariki ya Kati na jamii nzima ya mwanadamu.
-
Larijani: Kushiriki kwa wingi wananchi katika uchaguzi ni ngao ya ulinzi kwa Iran
May 14, 2017 11:56Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, kujitokeza kwa wingi wananchi katika uchaguzi wa Ijumaa ijayo ya tarehe 19 Mei 2017 kutaipa kinga madhubuti Iran mbele ya vitisho vya maadui.
-
Larijani: Kushiriki kwa wingi wananchi katika uchaguzi ni ngao ya ulinzi kwa Iran
May 14, 2017 08:21Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, kujitokeza kwa wingi wananchi katika uchaguzi wa Ijumaa ijayo ya tarehe 19 Mei 2017 kutaipa kinga madhubuti Iran mbele ya vitisho vya maadui.
-
Larijani: Inafedhehesha nchi za Kiislamu kuafikiana na utawala wa Kizayuni na Marekani kuwaua Waislamu
Apr 20, 2017 02:37Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge) ya Iran amesema ni jambo la kufedhehesha kwa baadhi ya nchi za Kiislamu kuafikiana na utawala wa Kizayuni wa Israel na Marekani juu ya kuwavurumizia mabomu ya vishada Waislamu.
-
Larijani: Lengo la makundi ya kigaidi ni kuzusha udini duniani
Apr 11, 2017 10:52Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amelaani vikali mashambulizi ya kigaidi dhidi ya makanisa mawili nchini Misri siku ya Jumapili iliyopita ambapo makumi ya watu waliuawa na wengine wengi kujeruhiwa huku akisisitiza kuwa, lengo la magaidi ni kuzusha mifarakano ya kidini duniani.
-
Larijani: Litaundwa kundi la kuchunguza shambulio la kemikali huko Syria
Apr 09, 2017 02:33Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran yaani Bunge amelaani mashambulizi ya makombora ya Marekani huko Syria kwa kisingizio cha kutekelezwa shambulio la kemikali nchini humo na kutaka kuundwa kundi la kuchunguza suala hilo.
-
Larijani: Pentagon, CIA ni wahusika wakuu wa harakati za kigaidi
Apr 01, 2017 23:16Spika wa Bunge la Iran Ali Larijani amelaani uharibifu wa wazi unaofanywa na Marekani Mashariki ya Kati na kusema Washington inahusika na harakati zote za kigaidi.
-
Larijani: Umoja wa kitaifa, suluhu ya migogoro ya Syria, Yemen
Feb 12, 2017 01:34Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema njia pekee ya kuipatia ufumbuzi migogoro inayoendelea kushuhudiwa katika nchi za Syria na Yemen ni mshikamano na umoja wa kitaifa.
-
Larijani: Waungaji mkono wa ugaidi hawamo kwenye orodha ya Trump ya marufuku ya viza
Feb 01, 2017 23:22Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran amesema nchi zinazounga mkono ugaidi hazimo kwenye orodha ya marufuku ya viza iliyotolewa na Rais wa Marekani.