-
Sayyid Hassan Nasrullah tumejiweka imara kukabiliana na adui hata ikiwa ni Marekani
Sep 22, 2017 04:13Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya nchini Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah amesema kuwa harakati hiyo haitaki vita, lakini ikiwa itashambuliwa basi itasimama imara kukabiliana vikali na adui hata kama atakuwa ni Marekani.
-
Saudia yaishinikiza Kuwait imkatae balozi wa Lebanon ambaye ni Mwislamu wa Shia
Sep 09, 2017 11:59Utawala wa Saudi Arabia umeendeleza mashinikizo mbalimbali dhidi ya serikali ya Kuwait, ikiitaka nchi hiyo kuikataa barua ya utambulisho wa Rayan Said, balozi wa Lebanon ambaye ni Mwislamu wa Shia aliyetumwa nchini humo.
-
Saudia yawatishia Walebanon kwa hatua yao ya kuiunga mkono Hizbullah
Sep 05, 2017 03:16Saudi Arabia imetoa radiamali ikijibu nafasi ya hivi karibuni ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon Hizbullah ya kutoa pigo kwa makundi ya kigaidi mashariki mwa nchi hiyo kwa kuwatishia wananchi wa Lebanon kutokana na hatua yao ya kuiunga mkono harakati hiyo ya Kiislamu.
-
Hizbullah: Tutaendelea kuweko Syria hadi hatari ya magaidi itakapoondoka
Sep 04, 2017 22:05Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, harakati hiyo ya mapambano ya Kiislamu ambayo iko Syria kwa ombi la serikali ya nchi hiyo, itabakia nchini humo hadi pale hatari ya ugaidi itakapoondoka.
-
Lebanon yakanusha madai ya kuwepo viwanda vya makombora vya Iran nchini humo
Sep 02, 2017 03:01Waziri Mkuu wa Lebanon amekadhibisha madai yaliyotolewa na utawala wa Kizayuni wa Israel kwamba Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inatengeneza viwanda vya kuzalisha makombora katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Jeshi la Lebanon lawekwa mpakani baada ya Madaesh kutimuliwa kwenye mpaka wa nchi hiyo na Syria
Aug 29, 2017 22:41Kufuatia kutimuliwa magaidi wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) linalopata uungaji mkono wa Marekani, Israel na Saudia katika mpaka wa pamoja wa Syria na Lebanon, Jumanne ya jana jeshi la Lebanon lilituma askari wake katika miinuko ya Al-Qalamoun walipokuwako magaidi hao wakufurishaji.
-
Magaidi wa Daesh (ISIS) wajisalimisha kwa Hizbullah ya Lebanon
Aug 27, 2017 10:08Wapiganaji wenye silaha wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) wamejisalimisha kwa vikosi vya muqawama baada ya vikosi hivyo kuwakaribia magaidi hao katika eneo la mpaka wa pamoja wa Lebanon na Syria.
-
Sayyid Nasrullah: Mapambano dhidi ya ugaidi yataendelea Lebanon
Aug 24, 2017 23:53Katibu Mkuu wa chama cha Hizbullah cha nchini Lebanon amesema kuwa, mapambano katika milima ya mpakani mwa nchi hiyo na Syria yataendelea hadi yatakapoangamizwa kikamilifu magenge ya kigaidi.
-
Émile Lahoud: Kusimama kidete Lebanon mkabala na Israel kulitimia kwa himaya ya Iran
Aug 23, 2017 22:03Émile Lahoud Rais wa zamani wa Lebanon amesema kuwa, muqawama wa Lebanon uliweza kusimama kidete mbele ya mashambulio ya utawala ghasibu wa Israel kutokana na himaya na uungaji mkono wa Jamhuri ya kiislamu ya Iran.
-
Umoja wa Kiislamu, njia pekee ya kukabiliana na magaidi wakufurishaji na Wazayuni
Aug 23, 2017 09:16Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema njia pekee ya kukabiliana na vitisho viwili vya magaidi wakufurishaji na Wazayuni ni kuwepo umoja na mshikamano miongoni mwa Waislamu duniani.