-
Trump apanga kuwahamishia Libya Wapalestina milioni 1 wa Gaza
May 17, 2025 10:29Imefichuka kuwa, maafisa wakuu wa serikali ya Rais wa Marekani, Donald Trump wanashughulikia mpango wa kuhamisha takriban nusu ya wakazi milioni 2.2 wa Ukanda wa Gaza uliozingirwa na kuwapeleka hadi Libya.
-
Serikali ya Umoja wa Kitaifa Libya: Utulivu umerejea Tripoli
May 14, 2025 02:45Serikali ya Umoja wa Kitaifa yenye makao yake makuu mjini Tripoli (GNU) ilisema jana Jumanne kuwa "imehitimisha" operesheni ya kijeshi katika mji mkuu huo, kufuatia usiku wa mapigano yaliyosababishwa na kuripotiwa mauaji ya kamanda mkuu wa usalama.
-
Kumalizika operesheni ya kijeshi Tripoli; Libya yaingia tena kwenye mgogoro
May 14, 2025 02:41Wizara ya Ulinzi ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Libya imetangaza kumalizika kwa mafanikio operesheni ya kijeshi huko Tripoli mji mkuu wa nchi hiyo.
-
Serikali ya Tripoli yapinga kupelekwa Libya wahamiaji kutoka Marekani
May 08, 2025 07:06Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Libya imepinga vikali mpango wowote wa kupokea wahamiaji haramu waliofukuzwa kutoka Marekani.
-
Libya yawaachia huru wahamiaji 82 waliokuwa wametekwa na wahalifu
Mar 26, 2025 11:10Mamlaka za Libya zimetangaza habari ya kuwaachilia huru wahamiaji 82 waliokuwa wakishikiliwa mateka na kundi la wahalifu likidai kikomboleo.
-
Mjumbe wa UN ataka kuimarishwa hadhi ya wanawake nchini Libya
Mar 09, 2025 06:43Hanna Serwaa Tetteh, mwakilishi maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Libya ambaye pia ni mkuu wa Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini humo UNSMIL ametoa mwito wa kuinuliwa hadhi ya wanawake nchini Libya.
-
Waziri Mkuu wa Italia achunguzwa kwa kumuachia huru mshukiwa wa ICC
Jan 29, 2025 10:30Waziri Mkuu wa Italia, Giorgia Meloni amewekwa chini ya uchunguzi wa mahakama kufuatia uamuzi wa serikali yake wa kumwachilia huru afisa wa polisi wa Libya anayesakwa na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC.
-
OPEC: Mchango wa nishati ya Libya ni muhimu kwa masoko ya kimataifa
Jan 20, 2025 11:10Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi Zinazouza Nje Mafuta kwa Wingi (OPEC) amezungumzia nafasi muhimu ya Libya katika soko la nishati duniani, na kusisitiza kuwa maendeleo nchini humo yana mfungamano muhimu na sekta ya kimataifa ya mafuta.
-
Libya yataka kufutwa uanachama wa utawala wa Israel katika Umoja wa Mataifa
Dec 03, 2024 12:15Libya imetaka kufutwa uanachama wa utawala wa Kizayuni katika Umoja wa Mataifa na kuhuishwa sura ya saba ya Hati ya Baraza la Usalama dhidi ya utawala huo unaotekeleza mauaji ya kimbari.
-
UN: Milipuko ya mabomu ya kutegwa ardhini imeuwa watu 16 Libya tangu kuanza mwaka huu
Nov 06, 2024 02:18Watu 16 wakiwemo watoto wadogo wamepoteza maisha huko Libya tangu kuanza mwaka huu wa 2024 kufuatia milipuko ya mabomu ya kutegwa ardhini na masalia ya zana za vita ambazo hazikulipuka.