-
Mvua kubwa yauwa watu 2 na kujeruhi 40 katika mji wa Sabha, Libya
Sep 16, 2024 02:33Takriban watu wawili wamepoteza maisha na wengine 40 kujeruhiwa kutokana na mvua kubwa iliyonyesha katika mji wa Sabha, kusini mwa Libya jana Jumapili.
-
Saddam Haftar ateuliwa kuwa mkuu wa jeshi la Libya
Jun 17, 2024 03:22Saddam Haftar mtoto wa Khalifa Haftar mbabe wa kivita nchini Liibya ameteuliwa kuwa mkuu wa jeshi la nchi hiyo.
-
Ethiopia yapitisha muswada unaoruhusu harakati iliyopigwa marufuku ya TPLF kuwa chama cha siasa
Jun 05, 2024 07:08Bunge la Ethiopia limefanya mabadiliko makubwa ya kisiasa kwa kupitisha muswada wa sheria unaoruhusu Harakati ya Ukombozi ya Watu wa Tigray (TPLF), ambayo hapo awali ilipigwa marufuku kwa kuendesha vita dhidi ya serikali ya shirikisho, kujiandikisha upya katika Bodi ya Taifa ya Uchaguzi ya Ethiopia (NEBE) ili kuwa chama cha siasa.
-
Umeme wazimwa, viwanja vya ndege vyafungwa Nigeria baada ya wafanyakazi kugoma
Jun 04, 2024 07:16Shughuli muhimu zimesita nchini Ngeria baada ya umeme kukatika na viwanja vya ndege vikubwa kufungwa, kufuatia hatua ya vyama vikubwa zaidi vya wafanyakazi kuanzisha mgomo wa kudai nyongeza ya mishahara kutokana na ughali mkubwa wa maisha kuwahi kushuhudiwa nchini humo kwa miongo kadhaa.
-
Libya yajiunga kwenye kesi ya nchi kadhaa dhidi ya utawala wa Kizayuni
Jun 01, 2024 07:49Mwakilishi wa Libya katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) amesema kuwa; mahakama hiyo Umoja wa Mataifa (UN) imekubali ombi la Tripoli la kujiunga kwenye kesi ya Afrika Kusini dhidi ya utawala wa Kizayuni.
-
Maiti 65 za wahajiri zagunduliwa katika kaburi la umati Libya
Mar 23, 2024 07:50Maafisa wa Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) wameripoti kuwa wamegundua miili ya watu 65 iliyokuwa imezikwa kwenye kaburi la umati nchini Libya.
-
Makubaliano ya viongozi wa Libya ya kuunda serikali moja mpya
Mar 13, 2024 07:38Kuendelea mgogoro nchini Libya na kuwa vigumu suala la kufanyika uchaguzi nchini humo hatimaye kumepelekea viongozi wa Libya kukubaliana kuunda serikali moja ambayo itakuwa na jukumu la kusimamia uchaguzi nchini humo.
-
Viongozi wa Libya waafikiana kuunda serikali ya umoja
Mar 11, 2024 11:23Viongozi watatu muhimu wa Libya wamesisitiza juu ya udharura wa kuunda serikali mpya ya umoja ambao utapewa jukumu la kusimamia uchaguzi ambao umeakhirishwa kwa muda mrefu sasa.
-
Serikali ya Libya: Wanamgambo kuondoka Tripoli baada ya kufikiwa makubaliano
Feb 23, 2024 03:30Makundi ya wanamgambo waliojizatiti kwa silaha na ambayo yamekuwa yakidhibiti Tripoli yamekubali kuondoka katika mji mkuu huo wa Libya.
-
Libya yawafukuza mabalozi wa nchi kadhaa zinazounga mkono utawala wa Kizayuni
Oct 26, 2023 06:13Ikiwa ni katika hatua yake ya kupinga kuendelea jinai na mashambulizi ya kinyama ya utawala wa Kizayuni dhidi ya watu wa Ukanda wa Ghaza, Libya imewatimua mabalozi wa nchi kadhaa zinazounga mkono utawala wa Kizayuni nchini humo.