-
Libya na zuio kali la siku tatu la kutoka nje ili kupambana na maambukizi ya corona
Aug 08, 2021 21:52Libya imeanza kutekeleza zuio kali la watu kutoka nje kwa siku tatu ili kupambana na maambukizi ya virusi vya corona nchini humo.
-
Russia yaitaka Marekani iwaondoe wanajeshi wake Iraq, Libya, Syria na Afghanistan
Jul 28, 2021 03:17Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia ameitaka Marekani iwaondoe wanajeshi wake huko Iraq, Libya, Afghanistan na Syria.
-
Wahajiri 57 waaga dunia katika pwani ya Libya
Jul 27, 2021 03:04Shirika la Kimataifa la Uhamiaji limetangaza kuaga dunia wahajiri 57 katika pwani ya Libya baada ya kupinduka na kuzama boti waliyokuwa wakisafiria.
-
Wanaharakati wa nchi 5 za kaskazini mwa Afrika: Kuna udharura wa kukabiliana na mwenendo wa kuanzisha uhusiano na Israel
Jul 25, 2021 22:09Wanaharakati kutoka nchi tano za kaskazini mwa Afrika ambazo ni Algeria, Tunisia, Morocco, Libya na Mauritania wamesisitiza udharura wa kukabiliana na hatua ya baadhi ya nchi ya kuanzisha uhusiano rasmi wa na utawala ghasibu wa Israel.
-
Amnesty yazilaumu Libya na Ulaya kwa vitendo vya udhalilishaji wa kingono kwa wahajiri
Jul 15, 2021 07:01Shirika la Amnesty International limelaani vitendo vya udhalilishaji wa kutisha wa kingono wanavyofanyiwa wahajiri wanaorejeshwa Libya kwa ushirikiano na nchi za Ulaya baada ya kujaribu kuvuka Bahari ya Mediterania.
-
Haftar azuiwa kugombea katika uchaguzi ujao wa Libya
Jul 11, 2021 21:56Kiongozi wa Baraza Kuu la Libya amepinga suala la wanajeshi kugombea katika uchaguzi ujao wa nchi hiyo akiwemo kamanda wa kundi la wanamgambo wa linalojiita Jeshi la Kitaifa la Libya, Khalif Haftar.
-
Kufeli na kumalizika bila natija mazungumzo ya amani ya Libya mjini Geneva
Jul 04, 2021 05:34Katika hali ambayo jitihada za kuleta amani na usalama wa kudumu na kuitishwa uchaguzi wa haki utakaoyashirikisha makundi yote ya kisiasa zinaendelea, taarifa iliyotolewa hivi karibuni kuhusu Libya si ya kufurahisha hata kidogo.
-
Guterres asema ana wasiwasi kuhusu hali mbaya ya binadamu nchini Libya
Jun 27, 2021 11:11Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa ana wasiwasi kuhusu hali mbaya ya masuala ya kibinadamu huko Libya.
-
Italia yakanusha madai ya kutaka kuimarisha uwepo wa askari wake Libya
Jun 27, 2021 03:04Wizara ya Ulinzi ya Italia imekadhibisha madai ya baadhi ya vyombo vya habari kuwa Rome ina mpango wa kuongeza idadi ya wanajeshi wake nchini Libya.
-
Kongamano la pili la amani ya Libya; sisitizo la kuondolewa askari wa kigeni
Jun 25, 2021 07:33Kongamano la pili la amani ya Libya limeendelea kufanyika huko Berlin, mji mkuu wa Ujerumani huku juhudi za kimataifa zikifanywa kwa ajili ya kutatua mgogoro wa Libya na kuandaliwa mazingira ya kufanyika kwa amani na uhuru uchaguzi mkuu wa nchi hiyo hapo mwezi Disemba mwaka huu.