Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Libya

  • Mamluki 160 wakamatwa Sudan wakielekea Libya kupigana vita

    Mamluki 160 wakamatwa Sudan wakielekea Libya kupigana vita

    Jul 17, 2020 10:14

    Sudan imesema, imewatia nguvuni watu 160 wakiwemo raia wa kigeni ambao walikuwa mbioni kuelekea Libya kwa lengo la kupigana kama mamluki katika vita vya ndani vya nchi hiyo.

  • Afisa wa serikali ya Sudan akanusha madai nchi yake inashiriki katika mapigano huko Libya

    Afisa wa serikali ya Sudan akanusha madai nchi yake inashiriki katika mapigano huko Libya

    Jul 16, 2020 22:13

    Naibu Mkuu wa Kamati ya Kisiasa ya Baraza la Mpito la Uongozi nchini Sudan amekanusha madai kuwa nchi hiyo inahusika katika mapigano yanayojiri nchini Libya au kutuma mamluki nchini humo.

  • Marais wa Misri na Ufaransa wajadiliana mgogoro wa Libya

    Marais wa Misri na Ufaransa wajadiliana mgogoro wa Libya

    Jul 16, 2020 08:02

    Marais wa Misri na Ufaransa wamefanya mazungumzo ya simu kuhusiana na mgogoro wa Libya.

  • Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani akiri kuhusu msimamo dhaifu wa EU mkabala na mgogoro wa Libya

    Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani akiri kuhusu msimamo dhaifu wa EU mkabala na mgogoro wa Libya

    Jul 15, 2020 02:56

    Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani amesema kuwa Umoja wa Ulaya umedhihirisha msimamo dhaifu katika kushughulikia mgogoro wa Libya.

  • Kuendelea mgogoro wa Libya na kushadidi uingiliaji wa kigeni katika masuala ya nchi hiyo

    Kuendelea mgogoro wa Libya na kushadidi uingiliaji wa kigeni katika masuala ya nchi hiyo

    Jul 14, 2020 22:23

    Mgogoro wa Libya unaendelea kushuhudiwa huku nchi hiyo ikiwa imegeuzwa kuwa uwanja wa vita vya niaba baina ya mataifa mbalimbali.

  • Misri yaionya Uturuki, yasema operesheni dhidi ya mji wa Sirte huko Libya ni hatua hatari sana

    Misri yaionya Uturuki, yasema operesheni dhidi ya mji wa Sirte huko Libya ni hatua hatari sana

    Jul 14, 2020 06:22

    Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Misfri amekosoa vikali matamshi yaliyotolewa na mwenzake wa Uturuki kwamba Ankara inajitayarisha kushiriki katika operesheni ya kijeshi katika mji wa Sirte huko Libya na kusema matamshi hayo kuwa ni hatari kubwa.

  • IOM: Wahajiri 2,300 wanazuiliwa katika mazingira ya kuogofya Libya

    IOM: Wahajiri 2,300 wanazuiliwa katika mazingira ya kuogofya Libya

    Jul 14, 2020 03:33

    Shirika la Kimataifa la Wahajiri (IOM) limesema maelfu ya wahajiri wanazuiliwa katika mazingira ya kutisha huko nchini Libya.

  • Algeria yakosoa misimamo ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kuhusiana na Libya na Syria

    Algeria yakosoa misimamo ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kuhusiana na Libya na Syria

    Jul 12, 2020 23:38

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria amekosoa misimamo ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kuhusiana na Libya na Syria.

  • Uturuki: Usitishwaji vita Libya utategemea  Haftar kuafiki kuondoa askari wake

    Uturuki: Usitishwaji vita Libya utategemea Haftar kuafiki kuondoa askari wake

    Jul 12, 2020 09:42

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki amesema Serikali ya Muafaka wa Kitaifa Libya, inayotambuliwa na Umoja wa Mataifa, itaafiki mpatano ya usitishwaji vita iwapo tu jenerali muasi Khalifa Haftar ataondoa wapiganaji wake walioko maeneo ya kati na magharibi mwa nchi hiyo.

  • Sisitizo la Russia la kupatikana ufumbuzi wa kisiasa wa mgogoro wa Libya

    Sisitizo la Russia la kupatikana ufumbuzi wa kisiasa wa mgogoro wa Libya

    Jul 11, 2020 22:03

    Mgogoro wa kisiasa na vita vya Libya bado vinaendelea sambamba na jitihada zinazofanyika kikanda na kimataifa kwa ajili ya kupatikana ufumbuzi wa mgogoro huo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS