-
Italia yazilaumu nchi za Magharibi kwa kuivamia kijeshi Libya wakati wa Gaddafi
Aug 18, 2023 04:36Waziri wa Mambo ya Nje ambaye pia ni Naibu Waziri Mkuu wa Italia amezilaumu nchi za Magharibi kwa kuivamia kijeshi Libya wakati wa harakati za wananchi za kuipindua serikali ya kiongozi wa muda mrefu Muammar Gaddafi lakini ameshindwa kulaumu uharibifu mkubwa uliofanywa na madola hayo ya Magharibi katika uvamizi wao huo.
-
Waliouawa katika mapigano ya pande hasimu za jeshi Libya wafika 55
Aug 17, 2023 03:16Idadi ya waliouawa katika mapigano baina ya pande mbili hasimu za kijeshi katika mji mkuu Libya, Tripoli imeongezeka na kufikia watu 55.
-
Mapigano ya utumiaji silaha yaanza tena katika mji mkuu wa Libya, Tripoli
Aug 16, 2023 02:49Msemaji wa masuala ya dharura na utoaji misaada nchini Libya ametangaza kuwa mapigano ya utumiaji silaha yameanza tena katika mji mkuu wa nchi hiyo Tripoli.
-
Libya, familia za wahanga waliozikwa kwenye makaburi ya umati zataka wahusika wanyongwe
Aug 14, 2023 12:21Familia za watu waliouawa na kuzikwa kwenye makaburi ya halaiki zimepinga adhabu ya vifungo vya jela kwa wale waliohusika na mauaji ya mamia ya raia na kuzikwa kwenye makaburi hayi katika mji wa Tarhuna, kusini mashariki mwa mji mkuu wa Libya, Tripoli, na badala yake zinataka wapewe adhabu ya kifo
-
Maiti 27 za wahajiri zapatikana jangwani karibu na mpaka wa Tunisia
Aug 11, 2023 02:19Mamlaka za Libya zimetangaza habari ya kugunduliwa miili 27 ya wahajiri wa Kiafrika katika jangwa la magharibi karibu na mpaka wa nchi hiyo na Tunisia.
-
Iran na Libya zatangaza azma ya kuimarisha uhusiano
Jul 25, 2023 15:19Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran na Libya wamesisitiza azma ya viongozi wa nchi mbili ya kupanua uhusiano wa pande mbili.
-
Libya yawahukumu watu 37 kwa kusababisha vifo vya wahamiaji 11
Jul 11, 2023 11:02Mahakama nchini Libya imeidhinisha hukumu kali kwa watu 37 waliotuhumiwa kujihusisha na magendo ya binadamu. Watu hao wanatajwa kusababisha vifo vya wahajiri waliokuwa wakijaribu kuelekea Ulaya kupitia Bahari ya Mediterania. Haya yameelezwa na Ofisi ya Mwendesha Mashtaka wa Libya.
-
Saudi Arabia kufungua tena ubalozi wake huko Libya hivi karibuni
May 15, 2023 10:41Ujumbe kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Saudi Arabia umeelekea Tripoli mji mkuu wa Libya kwa ajili ya kuchuguza taratibu za kufungua tena ubalozi wa nchi hiyo nchini Libya.
-
Umoja wa Ulaya na mchango wake katika uhalifu dhidi ya ubinadamu nchini Libya
Mar 30, 2023 02:15Wakati wimbi kubwa la wakimbizi linaendelea kumiminika Libya wakiwa na matumaini ya kuvuka bahari na kufika Ulaya, nchi hiyo ya Afrika sasa imekuwa Jahanamu kwa wakimbizi na wahamiaji, kiasi kwamba wengi wao wananyanyaswa kimwili na kiakili na hata kuuawa.
-
UN yaituhumu EU kuunga mkono jinai dhidi ya binadamu Libya
Mar 28, 2023 07:25Jopo la uchunguzi la Umoja wa Mataifa limesema kwamba, kuna ushahidi unaoonyesha kuwa jinai dhidi ya binadamu zimefanywa dhidi wa wananchi wa Libya na wahajiri waliokwama katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika, wakiwemo wanawake wanaolazimishwa kuingia kwenye utumwa wa kingono.