Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Libya

  • Walibya waandamana mjini Tripoli kulaani hatua za Ufaransa dhidi ya nchi yao

    Walibya waandamana mjini Tripoli kulaani hatua za Ufaransa dhidi ya nchi yao

    Apr 27, 2019 08:28

    Raia wa Libya wamefanya maandamano katika medani kuu ya mji wa Tripoli wakiwa wamevalia vizibao vya njano kama wanavyofanya washiriki wa maandamano ya vizibao vya njazo kupinga siasa za kiuchumi za serikali ya Ufaransa, ambapo nao wamelaani mienendo hasi ya serikali ya Paris dhidi ya nchi yao.

  • Mufti Mkuu wa Libya: Hakuna eneo lililosalimika na ufisadi wa watawala wa Saudi Arabia

    Mufti Mkuu wa Libya: Hakuna eneo lililosalimika na ufisadi wa watawala wa Saudi Arabia

    Apr 26, 2019 22:11

    Mufti Mkuu wa Libya Sheikh Sadiq Al-Ghariani amesema kuwa, hakuna eneo lolote duniani ambalo limesalimika na ufisadi wa watawala wa Aal Saudi wa Saudi Arabia.

  • Libya katika kinamasi cha mapigano ya ndani na uingiliaji wa madola ajnabi

    Libya katika kinamasi cha mapigano ya ndani na uingiliaji wa madola ajnabi

    Apr 24, 2019 01:58

    Mapigano nchini Libya hasa katika mji wa Tripoli na pambizoni mwake yanakuwa makali siku baada ya siku. Duru za kijeshi za Serikali ya Umoja wa Kitaifa zimetangaza kuwa, vikosi vyake vimefanikiwa kudhibiti sehemu kubwa ya uwanja wa ndege wa Tripoli. Hata hivyo wapiganaji wa Jenerali Khalifa Haftar wamedai kuwa wamekaribia mno kuingia katikati ya Tripoli.

  • Vikosi vya Serikali ya Maafikiano ya Kitaifa Libya vyadhibiti sehemu muhimu ya Uwanja wa Ndege wa Tripoli

    Vikosi vya Serikali ya Maafikiano ya Kitaifa Libya vyadhibiti sehemu muhimu ya Uwanja wa Ndege wa Tripoli

    Apr 23, 2019 02:37

    Vikosi vya Serikali ya Maafikiano ya Kitaifa ya Libya inayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa kwa sasa inadhibiti sehemu muhimu ya Uwanja wa Ndege wa Tripoli, mji mkuu wa nchi hiyo.

  • Radiamali ya Wademocrats dhidi ya uungaji mkono wa Rais Donald Trump kwa jenerali Khalifa Haftar

    Radiamali ya Wademocrats dhidi ya uungaji mkono wa Rais Donald Trump kwa jenerali Khalifa Haftar

    Apr 22, 2019 02:42

    Nchi yenye utajiri wa mafuta ya Libya ambayo kijiografia ipo kaskazini mwa Afrika, imekuwa ikishuhudia vurugu, machafuko na vita vya ndani tangu mwaka 2011.

  • Msimamo wa Marekani unaokinzana na wa dunia kuhusu mgogoro wa Libya

    Msimamo wa Marekani unaokinzana na wa dunia kuhusu mgogoro wa Libya

    Apr 20, 2019 22:04

    Mapigano mapya yaliyoanzishwa na Jenerali Khalifa Haftar anayeungwa mkono na Saudi Arabia, Umoja wa Falme za Kiarabu na Misri huko Libya umeifanya nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika irejee katika ajenda muhimu za kisiasa duniani huku kukiwa na mitazamo tofauti kuhusu namna ya kuutatua mgogoro huo.

  • Walibya waandamana kulaani hatua ya Trump kumpigia simu Jenerali Haftar

    Walibya waandamana kulaani hatua ya Trump kumpigia simu Jenerali Haftar

    Apr 20, 2019 08:37

    Wananchi wa Libya wamefanya maandamano mjini Tripoli kukosoa hatua ya Rais Donald Trump kumpigia simu jenerali muasi Khalifa Haftar mwenye makao yake katika mji wa Benghazi, magharibi mwa Libya, na ambaye amekuwa akiendesha kampeni ya kijeshi ya kutaka kuuteka mji mkuu Tripoli.

  • Mapigano makali ya siku 16 Libya na kushindwa wapiganaji wa Khalifa Haftar viungani mwa Tripoli

    Mapigano makali ya siku 16 Libya na kushindwa wapiganaji wa Khalifa Haftar viungani mwa Tripoli

    Apr 19, 2019 23:52

    Katika siku ya 16 ya mapigano makali nchini Libya, hatimaye wapiganaji wa serikali ya umoja wa kitaifa, wamefanikiwa kudhibiti mji muhimu wa Garyan, kusini magharibi mwa mji wa Tripoli, mji mkuu wa nchi hiyo.

  • Libya yaituhumu Ufaransa kuwa inachochea vita nchini humo kwa kumuunga mkono Haftar

    Libya yaituhumu Ufaransa kuwa inachochea vita nchini humo kwa kumuunga mkono Haftar

    Apr 19, 2019 03:22

    Serikali ya Libya inayotambuliwa kimataifa inaituhumu serikali ya Ufaransa kuwa inahusika katika kuchochea mapigano makali yanayoshuhudiwa katika nchi hiyo hiyo ya kaskazini mwa Afrika

  • WHO: Idadi ya waliouawa katika mapigano ya Tripoli, Libya yapindukia watu 200

    WHO: Idadi ya waliouawa katika mapigano ya Tripoli, Libya yapindukia watu 200

    Apr 18, 2019 08:55

    Shirika la Afya Duniani WHO limesema kuwa, idadi ya watu waliopoteza maisha katika mashambulizi ya vikosi vya Jenerali Khalifa Haftar vya kutaka kuudhibiti mji mkuu wa Libya, Tripoli imeongezeka na kufikia watu 205.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS