Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Libya

  • Libya yaituhumu Ufaransa kuwa inachochea vita nchini humo kwa kumuunga mkono Haftar

    Libya yaituhumu Ufaransa kuwa inachochea vita nchini humo kwa kumuunga mkono Haftar

    Apr 19, 2019 03:22

    Serikali ya Libya inayotambuliwa kimataifa inaituhumu serikali ya Ufaransa kuwa inahusika katika kuchochea mapigano makali yanayoshuhudiwa katika nchi hiyo hiyo ya kaskazini mwa Afrika

  • WHO: Idadi ya waliouawa katika mapigano ya Tripoli, Libya yapindukia watu 200

    WHO: Idadi ya waliouawa katika mapigano ya Tripoli, Libya yapindukia watu 200

    Apr 18, 2019 08:55

    Shirika la Afya Duniani WHO limesema kuwa, idadi ya watu waliopoteza maisha katika mashambulizi ya vikosi vya Jenerali Khalifa Haftar vya kutaka kuudhibiti mji mkuu wa Libya, Tripoli imeongezeka na kufikia watu 205.

  • Zarif azuru Uturuki kujadili masuala ya Syria na Libya

    Zarif azuru Uturuki kujadili masuala ya Syria na Libya

    Apr 17, 2019 03:10

    Mohammad Javad Zarif Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameitembelea Uturuki kwa ajili ya kujadiliana na viongozi wa nchi hiyo masuala ya uhusiano wa nchi mbili, kurejeshwa amani Syria na vilevile matukio ya hivi karibuni katika eneo la kaskazini mwa Afrika.

  • Elfu 18 wakimbia mapigano Libya

    Elfu 18 wakimbia mapigano Libya

    Apr 17, 2019 02:53

    Umoja wa Mataifa umetangaza kwamba watu wasiopungua 18,000 wamekimbia mapigano makali yanayoendelea kati ya jeshi linalojiita kuwa la kitaifa na la serikali ya muungano wa kitaifa huko Tripoli nchini Libya

  • Qatar yataka Jenerali Haftar wa Libya awekewe vikwazo vya silaha

    Qatar yataka Jenerali Haftar wa Libya awekewe vikwazo vya silaha

    Apr 16, 2019 22:00

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar ametoa mwito wa kuwekewa vikwazo vya silaha Jenerali Khalifa Haftar na vikosi vyake vinavyofanya mashambulizi ya kudhibiti mji mkuu wa Libya, Tripoli.

  • Mjumbe wa UN Libya: Harakati za Khalifa Haftar ni za kimapinduzi

    Mjumbe wa UN Libya: Harakati za Khalifa Haftar ni za kimapinduzi

    Apr 16, 2019 09:48

    Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa nchini Libya amesema mienendo na harakati zinazofanywa na Jenerali Khalifa Haftar na vikosi vyake ni za kimapinduzi na wala hazifanani na harakati za kupambana na ugaidi kama anavyodai yeye.

  • Misri yaunga mkono mashambulizi ya vikosi vya Haftar nchini Libya

    Misri yaunga mkono mashambulizi ya vikosi vya Haftar nchini Libya

    Apr 15, 2019 03:32

    Rais wa Misri Abdel Fattah al-Sisi ametangaza kuwa anaunga mkono mashambulizi yanayofaywa na vikosi vya Jenerali Khalifa Haftar yenye lengo la kuudhibiti mji mkuu wa Libya, Tripoli.

  • Spika wa Bunge Tobrok Libya amuunga mkono Haftar, watu 121 wauawa, 516 wajeruhiwa

    Spika wa Bunge Tobrok Libya amuunga mkono Haftar, watu 121 wauawa, 516 wajeruhiwa

    Apr 14, 2019 12:18

    Spika wa Bunge la Libya ametangaza kumuunga mkono Jenerali Khalifa Haftar huku mapigano yakiendelea katika mji mkuu wa nchi hiyo, Tripoli.

  • Saudia ilimpa Haftar mamilioni ya dola kabla ya kuanza hujuma Tripoli, Libya

    Saudia ilimpa Haftar mamilioni ya dola kabla ya kuanza hujuma Tripoli, Libya

    Apr 13, 2019 22:04

    Siku kadhaa kabla ya jenerali muasi Libya, Khalifa Haftar kuanzisha hujuma dhidi ya mji, mkuu wa nchi hiyo, Tripoli, Saudi Arabia ilikuwa imekabidhi mamilioni ya dola ili kutekeleza oparesheni hiyo.

  • UN yasikitishwa na hali mbaya ya kibinadamu mjini Tripoli, Libya

    UN yasikitishwa na hali mbaya ya kibinadamu mjini Tripoli, Libya

    Apr 13, 2019 08:34

    Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, umoja huo unahuzunishwa mno na hali mbaya ya raia wa Libya katika mapigano yanayoendelea kwenye mji mkuu wa nchi hiyo, Tripoli.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS