-
Wapalestina waliouliwa shahidi na jeshi la kizayuni Ghaza wakaribia 60,000; 92 wauawa kwa siku moja
Jul 29, 2025 03:31Idadi ya Wapalestina waliouwa shahidi kwa mashambulizi ya kinyama ya jeshi la utawala wa kizayuni katika Ukanda wa Ghaza inakaribia 60,000 baada ya jeshi hilo katili kuwaua Wapalestina wengine 92 katika muda wa siku moja wakiwemo 41 waliokuwa wakihangaika kupata msaada wa chakula.
-
Unicef: Mamilioni ya watoto wanasumbuliwa na utapiamlo
Oct 16, 2019 22:10Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetangaza kuwa mamilioni ya watoto duniani wanasumbuliwa na utapiamlo.
-
Umoja wa Mataifa waitaka DRC kupunguza wanajeshi wake mkoani Kasai
Jun 25, 2017 03:24Mshauri maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amezihimiza mamlaka katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, kupunguza wanajeshi wake katika mkoa wa Kasai, baada ya kuibuka vurugu mbaya za mauaji katika miezi ya hivi karibuni.
-
Save the Children: Utapiamlo mkali unatia wasiwasi nchini Somalia
Apr 22, 2017 01:59Shirika la kimataifa la Save the Children limetangaza kuwa, kiwango cha utapiamlo mkali kinachoshuhudiwa nchini Somalia kinatia wasiwasi.
-
UNICEF yaonya kuhusu lishe duni kwa watoto wa Afrika
Feb 17, 2016 22:41Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF umesema kuwa, kuna watoto milioni moja wana lishe duni barani Afrika