-
Wapinzani Sudan wataka kufanyika maandamano dhidi ya serikali
Dec 14, 2020 04:17Sambamba na ziara ya Waziri Mkuu wa serikali ya mpito ya Sudan nchini Ethiopia, wapinzani nchini Sudan wamewatolea wito wananchi kufanya maadnamano tarehe 19 mwezi huu.
-
Maandamano ya kulaani misimamo ya Macron dhidi ya Uislamu yafanyika Iran na Iraq
Oct 29, 2020 03:23Maelfu ya Waislamu katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Iraq wamefanya maandamano ya kulaani hatua ya Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ya kuunga mkono vitendo vya kuvunjiwa heshima Mtume Muhammad SAW na matukufu ya Kiislamu.
-
Maelfu waandamana Bangladesh wakitaka kususiwa bidhaa za Ufaransa
Oct 28, 2020 01:01Makumi ya maelfu ya Waislamu wa Bangladesh wamefanya maandamano katika mji mkuu Dhaka, kulaani hatua ya Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ya kuunga mkono kitendo cha kifidhuli cha jarida la Kifaransa la Charlie Hebdo cha kuchapisha tena vibonzo vya kumvunjia heshima Mtume Muhammad SAW.
-
Raia 51, maafisa usalama 18 wameuawa katika maandamano ya ghasia Nigeria
Oct 24, 2020 04:11Makumi ya watu wameuawa katika machafuko na maandamano yanayoendelea kushuhudiwa katika maeneo mbalimbali ya Nigeria.
-
Buhari ataka kukomeshwa maandamano, machafuko yaendelea Abuja
Oct 23, 2020 06:58Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria ametoa wito wa kukomesha machafuko na maandamano yanayoendelea katika maeneo mbalimbali ya nchi hiyo kufuatia mauaji ya raia waliokuwa wakiandamana kupinga ukatili wa polisi.
-
Ujumbe wa Wazayuni wakaribishwa Sudan kwa maandamano ya upinzani
Oct 22, 2020 04:26Ujumbe wa ngazi za juu wa utawala wa Kizayuni wa Israel umekaribishwa kwa maandamano ya upinzani nchini Sudan.
-
Watu kadhaa wauawa na kujeruhiwa katika maandamano ya ghasia Sudan
Oct 16, 2020 03:54Watu kadhaa wameuawa na kujeruhiwa katika maandamano ya ghasia huko mashariki mwa Sudan.
-
Maelfu ya Wamisri wakamatwa katika maandamano dhidi ya utawala wa Sisi
Oct 11, 2020 08:32Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema kwa uchache watu elfu mbili wametiwa mbaroni katika maandamano ya kupinga utawala wa Rais Abdel Fattah al-Sisi wa Misri ndani ya siku 20 zilizopita.
-
Maelfu waandamana Israel dhidi ya Netanyahu licha ya katazo
Oct 04, 2020 04:36Maelfu ya Waisraeli wamefanya maandamano ya kumtaka Waziri Mkuu wa utawala huo wa Kizayuni, Benjamin Netanyahu ajiuzulu kwa madai ya ufisadi na kushindwa kwake kulishughulikia janga la corona.
-
Watu kadhaa wauawa katika maandamano ya kumtaka Rais wa Misri ajiuzulu
Sep 26, 2020 08:51Kwa akali watu wawili wameuawa huku makumi ya wengine wakijeruhiwa katika ghasia za maandamano ya wananchi wa Misri, wanaomtaka Rais Abdel Fattah al Sisi wa nchi hiyo ang'atuke madarakani.