-
'Serikali ya Haftar' huko Libya yajiuzulu kufuatia maandamano ya wananchi
Sep 14, 2020 01:35Serikali ya Libya yenye makao makuu yake mashariki mwa nchi na inayoongozwa na Abdullah Al-Thani, imetangaza kujiuzulu kufuatia maandamano ya siku tatu ya wananchi katika miji mikubwa ya mashariki mwa nchi.
-
Wapinzani Ivory Coast waendelea kupinga “muhula wa tatu” urais cha Ouattara
Aug 15, 2020 05:34Makundi na vyama vya upinzani nchini Ivory Coast vimeendelea kupinga vikali uamuzi wa rais wa nchi hiyo, Alassane Ouattara wa kugombea tena kiti hicho kwa mara ya tatu mfululizo.
-
Wasudani waandamana tena dhidi ya serikali, wapinga marekebisho ya sheria
Jul 26, 2020 02:04Maelfu ya Wasudani wamefanya maandamano wakipinga marekebisho ya sheria za nchi yaliyofanywa na serikali ya mpito ya nchi hiyo na kupiga nara zinazoipinga serikali hiyo.
-
Mamia waandamana mbele ya ubalozi wa Imarati mjini Khartoum, wapinga kupelekwa Wasudan Libya kupigana
Jul 14, 2020 22:56Mamia ya Wasudani wamefanya maandamano mbele ya ubalozi wa Imarati mjini Khartoum wakipinga harakati za nchi hiyo za kuwaajiri vijana wa Kisudani na kuwapeleka kupigana vita kwa niaba nchini Libya kama mamluki.
-
Watu 11 wauawa katika maandamano nchini Mali; Rais ashinikizwa kujiuzulu
Jul 13, 2020 06:10Watu wasiopungua 11 wameuawa katika mji mkuu wa Mali Bamako na makumi ya wengine wamejeruhiwa kufuatia maandamano yanayoendelea yakimtaka Rais wa nchi hiyo Ibrahim Boubacar Keita ajiuzulu.
-
Rais wa Mali avunja Mahakama ya Katiba, kufuatia 4 kuuawa katika maandamano ya ghasia
Jul 12, 2020 03:03Rais Ibrahim Boubacar Keita ametangaza habari ya kuvunja Mahakama ya Katiba ya nchi hiyo, ikiwa ni katika juhudi za kutuliza hali, kufuatia maandamano ya ghasia yaliyosababisha kuuawa watu wanne huku wengine 74 wakijeruhiwa katika mji mkuu wa nchi hiyo, Bamako.
-
Ubelgiji yaendelea kushuhudia maandamano ya kulaani marufuku ya hijabu
Jul 11, 2020 07:03Kwa siku kadhaa sasa, mji mkuu wa Ubelgiji, Brussels umeshuhudia maandamano ya kulaani marufuku ya uvaaji hijabu na mitandio ya kichwani katika vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu za nchi hiyo ya Ulaya.
-
Watu 4 wauawa katika maandamano ya ghasia Kongo DR
Jul 10, 2020 02:58Watu wanne wameuawa na wengine kadhaa wamejeruhiwa katika maandamano ya kupinga uteuzi wa mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Maandamano ya kupinga ubaguzi Washington yabadilika na kuwa maandamano dhidi ya Israel
Jul 03, 2020 22:37Maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi yanayofanywa na wanachi wa Marekani katika mji mkuu wa nchi hiyo, Washington jana yalibadilika na kuwa maandamano dhidi ya utawala ghasibu wa Israel.
-
52 wauawa katika maandamano ya kulaani mauaji ya mwanaharakati Ethiopia
Jul 01, 2020 21:52Makumi ya watu wameuawa katika maandamano ya ghasia yaliyoibuka katika mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa baada ya muimbaji ya mwanaharakati mashuhuri kupigwa risasi na kuuawa.