-
Iran yatuma salamu za rambirambi baada ya karibu watu 400 kufa kwa mafuriko DRC
May 08, 2023 03:23Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetuma salamu za rambirambi na mkono wa pole kwa serikali na wananchi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo baada ya watu karibu 400 kufariki dunia kwa janga la mafuriko.
-
Mafuriko yaua watu 14 Somalia; madaraja, barabara na nyumba zasombwa
Mar 28, 2023 07:36Kwa akali watu 14 wamefariki dunia kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha kusini mwa Somalia.
-
DRC: Kwa akali watu 120 wameaga dunia katika janga la mafuriko Kinshasa
Dec 14, 2022 03:32Kwa akali watu 120 wamefariki dunia huko Kinshasa mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kufuatia janga la mafuriko makubwa yaliyoukumba mji huo hapo jana.
-
Maporomoko ya ardhi yaua watu 14 mazishini nchini Cameroon
Nov 28, 2022 03:38Watu wasiopungua 14 wamepoteza maisha kufuatia maporomoko ya ardhi yaliyotokea jana Jumapili nchini Cameroon.
-
Mafuriko yasababisha watu milioni 3.4 kupoteza makazi yao magharibi, katikati mwa Afrika
Oct 29, 2022 04:20Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) limesema mamilioni ya watu wamepoteza makazi yao katika nchi za magharibi na katikati mwa Afrika kutokana na mafuriko.
-
Walioaga dunia kwa mafuriko Nigeria wapindukia 500, Sudan Kusini 62
Oct 13, 2022 10:44Idadi ya watu walioaga dunia kutokana na mafuriko huko nchini Nigeria imeongezeka na kufikia watu 500.
-
Mafuriko yaua watu 24 kaskazini mwa Nigeria
Oct 08, 2022 11:12Watu wasiopungua 24 wamepoteza maisha kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zilizonyesha katika jimbo la Katsina la kaskazini mwa Nigeria.
-
UN yapitisha azimio la kuisaidia Pakistan, yatoa indhari ya kukumbwa na janga la kiafya
Oct 08, 2022 07:04Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio la kuonyesha mshikamano na kufanikisha usaidizi kwa serikali na watu wa Pakistan ikiwemo misaada ya kibinadamu, ukarabati na ujenzi mpya sambamba na kuepusha majanga zaidi iwapo taifa hilo litakumbwa na janga la mafuriko kama la sasa.
-
Iran yatangaza utayari wa kuwasaidia waathirika wa mafuriko Pakistan
Aug 28, 2022 07:48Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa Iran iko tayari kutoa msaada wa aina yoyote kwa watu walioathiriwa na mafuriko katika nchi ndugu na jirani ya Pakistan.
-
Hali ya dharura yatangazwa Pakistan baada ya mafuriko kuua zaidi ya 900
Aug 27, 2022 11:14Serikali ya Pakistan imetangaza hali ya dharura baada ya mafuriko yaliyosababishwa na mvua kali za msimu kusababisha vifo vya mamia ya watu.