-
Mafuriko yasababisha watu milioni 3.4 kupoteza makazi yao magharibi, katikati mwa Afrika
Oct 29, 2022 04:20Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) limesema mamilioni ya watu wamepoteza makazi yao katika nchi za magharibi na katikati mwa Afrika kutokana na mafuriko.
-
Walioaga dunia kwa mafuriko Nigeria wapindukia 500, Sudan Kusini 62
Oct 13, 2022 10:44Idadi ya watu walioaga dunia kutokana na mafuriko huko nchini Nigeria imeongezeka na kufikia watu 500.
-
Mafuriko yaua watu 24 kaskazini mwa Nigeria
Oct 08, 2022 11:12Watu wasiopungua 24 wamepoteza maisha kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zilizonyesha katika jimbo la Katsina la kaskazini mwa Nigeria.
-
UN yapitisha azimio la kuisaidia Pakistan, yatoa indhari ya kukumbwa na janga la kiafya
Oct 08, 2022 07:04Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio la kuonyesha mshikamano na kufanikisha usaidizi kwa serikali na watu wa Pakistan ikiwemo misaada ya kibinadamu, ukarabati na ujenzi mpya sambamba na kuepusha majanga zaidi iwapo taifa hilo litakumbwa na janga la mafuriko kama la sasa.
-
Iran yatangaza utayari wa kuwasaidia waathirika wa mafuriko Pakistan
Aug 28, 2022 07:48Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa Iran iko tayari kutoa msaada wa aina yoyote kwa watu walioathiriwa na mafuriko katika nchi ndugu na jirani ya Pakistan.
-
Hali ya dharura yatangazwa Pakistan baada ya mafuriko kuua zaidi ya 900
Aug 27, 2022 11:14Serikali ya Pakistan imetangaza hali ya dharura baada ya mafuriko yaliyosababishwa na mvua kali za msimu kusababisha vifo vya mamia ya watu.
-
Watu 180 waaga dunia kutokana na mafuriko nchini Afghanistan
Aug 26, 2022 07:16Watu wasiopungua 180 wamefariki dunia nchini Afghanistan kutokana na mafuriko na matukio yanayohusiana na mvua kali zilizonyesha hivi karibuni.
-
Mafuriko yaua watu zaidi ya 50 nchini Sudan
Aug 14, 2022 07:27Makumi ya watu wameaga dunia kufuatia mvua kubwa zilizonyesha na kusababisha mafuriko katika maeneo mbalimbali nchini Sudan.
-
Mafuriko yameua watu tisa katika eneo la Firuzkuh, Tehran
Jul 29, 2022 10:11Mkuu wa Mkoa wa Tehran amesema watu tisa ameuawa kufuatia mafuriko usiku wa kuamkia Ijumaa katika wilaya ya Firuzkuh iliyo katika milima ya mashariki mwa Tehran na kuongeza kuwa watu wengine 16 hawajulikani waliko na wengine 13 wamejeruhiwa.
-
Mvua na mafuriko yaua watu zaidi ya 300 nchini Pakistan
Jul 26, 2022 07:14Watu wasiopungua 310 wamefariki dunia nchini Pakistan kutokana na mafuriko na matukio yanayohusiana na mvua kali zinazoendelea kunyesha nchini humo.