-
Rouhani: Iran inaendelea kuuza mafuta yake duniani hata baada ya vikwazo vya Marekani
Dec 11, 2018 12:27Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema uuzaji mafuta ghafi ya petroli ya Iran katika soko la dunia unaendelea hata baada ya kuanza kutekelezwa awamu ya pili ya vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran ambavyo vilianza Novemba Nne.
-
Shirika la mafuta na gesi la Uganda latambuliwa rasmi kimataifa + Sauti
Dec 03, 2018 23:35Shirika la kwanza la mafuta na gesi la Kigumba, magharibi mwa la Uganda latambuliwa rasmi kimataifa. Mwandishi wetu Kigozi Ismail na maelezo zaidi
-
Rais Mnangagwa: Zimbabwe ina hifadhi kubwa ya mafuta na gesi
Nov 02, 2018 03:58Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe amefichua kuwa, nchi hiyo ina hifadhi kubwa ya mafuta na gesi katika mji wa Muzarabani ulioko kaskazini mwa nchi.
-
Zarif: Iran inao uwezo wa kuuza mafuta na kulinda uchumi wake
Oct 23, 2018 03:26Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran inao uwezo wa kuuza mafuta yake na pia kulinda vyema uchumi wake.
-
Washington yalazimika kuzingatia msamaha kwa wanunuzi wa mafuta ya Iran
Oct 22, 2018 04:45Waziri wa Fedha wa Marekani amelegeza msimamo wa nchi hiyo katika kuyawekea kikamilifu vikwazo mafuta ya Iran na kutangaza kuwa Washington inafikiria suala la msamaha kwa wanunuzi wa mafuta ya Iran.
-
Waziri wa Mafuta wa Iran: Marekani lazima iondoe vikwazo ili bei ya mafuta ishuke
Oct 17, 2018 00:48Bijan Namdar Zangeneh, Waziri wa Mafuta wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, iwapo Marekani itaiondolea vikwazo Iran, bei ya mafuta katika soko la dunia itapungua na hali ya kuvurugika uthabiti iliyopo katika soko hilo hivi sasa itaondoka.
-
Waziri wa Nishati wa Russia ajibu madai ya mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudia
Oct 10, 2018 22:58Waziri wa Nishati wa Russia amepinga madai ya mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia kuhusu mafuta.
-
India: Hatutoacha kununua mafuta ya Iran licha ya Marekani kututaka tuache
Aug 30, 2018 11:24Afisa mmoja wa ngazi ya juu nchini India amesema kuwa, serikali ya nchi hiyo itaendelea kununua mafuta ya Iran.
-
Lango bahari la Hormuz likifungwa bei ya pipa moja la mafuta itafika dola 400
Jul 29, 2018 03:31Mtaalamu wa masuala ya mafuta wa Iraq ametabiri kuwa endapo lango bahari la Hormuz litafungwa kutokana na mivutano iliyojitokeza katika eneo la Mashariki ya Kati, bei ya pipa moja la mafuta itafika dola 400.
-
Iran: Njama za Marekani kwa ajili ya kuzuia uuzaji nje mafuta ni ndoto
Jul 17, 2018 11:16Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Es'haq Jahangiri amesema kuwa njama za Marekani za kutaka kutuzuia uuzaji nje mafuta ya Iran ni ndoto potofu.