• Kupamba moto vita nchini Ukraine na juhudi zisizo na tija za Magharibi

    Kupamba moto vita nchini Ukraine na juhudi zisizo na tija za Magharibi

    Jan 15, 2024 06:27

    Russia imeshadidisha mashambulizi yake dhidi ya Ukraine sambamba na kupungua misaada ya kifedha na silaha ya nchi za Magharibi kwa Kyiv.

  • Sisitizo la Putin la kutoziami nchi za Magharibi

    Sisitizo la Putin la kutoziami nchi za Magharibi

    Dec 19, 2023 02:34

    Siku ya Jumapili, Rais Vladimir Putin wa Russia alikiri katika hotuba isiyokuwa ya kawaida kwamba ni makosa kuzidhania vizuri na kuzitegemea nchi za Magharibi na kufikiria kuwa Russia haina tofauti na nchi hizo. Alisema: Nilidhani kimakosa kuwa hakungekuwepo mzozo kati ya Russia na nchi za Magharibi na kwamba ulimwengu ulikuwa umebadilika.

  • Russia: Wamagharibi hatimaye wataondoka Ukraine

    Russia: Wamagharibi hatimaye wataondoka Ukraine

    Dec 12, 2023 03:35

    Mkuu wa Idara ya Ujasusi wa Kigeni ya Russia amesema: "Utawala kibaraka wa Kyiv, ambao ni ngeni kwa watu wengi wa Ukraine na umetekeleza mauaji ya umwagaji damu huko Donbass, Odessa na miji na vijiji vingi vya nchi hiyo, hatimaye utaachwa na kutupiliwa mbali na Wamagharibi."

  • Zelensky akosoa upuuzaji wa nchi za Magharibi kwa Ukraine

    Zelensky akosoa upuuzaji wa nchi za Magharibi kwa Ukraine

    Dec 02, 2023 10:24

    Rais Volodymyr Zelenskyy wa Ukraine amezikosoa nchi za Magharibi chini ya uongozi wa Marekani kwa kuisahau Ukraine na kuipunguzia misaada nchi hiyo katika vita na Russia.

  • Onyo la Moscow kuhusu kuendelea vita vya Ukraine mwaka 2024

    Onyo la Moscow kuhusu kuendelea vita vya Ukraine mwaka 2024

    Dec 01, 2023 07:59

    Licha ya kupita karibu miezi 22 tangu kuanza vita vya umwagaji damu nchini Ukraine, lakini hakuna matumaini yoyote yanayoashiria kumalizika mzozo huo hivi karibuni. Hii ni katika hali ambayo nchi za Magharibi kwa sasa zimeshughulishwa na vita vya Gaza na hivyo kutozingatia sana vita vya Ukraine, jambo ambalo limeipelekea serikali yenye mielekeo ya Kimagharibi ya Kyiv kukata tamaa kuhusu kupata misaada zaidi ya nchi hizo.

  • Ukosolewaji mkali wa undumakuwili wa Magharibi kuhusu kadhia ya Israel na Wapalestina

    Ukosolewaji mkali wa undumakuwili wa Magharibi kuhusu kadhia ya Israel na Wapalestina

    Nov 21, 2023 07:12

    Waziri Mkuu wa Ireland, Leo Varadkar amekosoa vikali undumilakuwili wa nchi za Magharibi na kusema kuwa Umoja wa Ulaya na madola ya Magharibi yanashughulikia masuala yanayohusiana na Israel na Palestina kwa undumilakuwili wa wazi.

  • Upinzani wa Wamagharibi kwa usitishaji vita Gaza

    Upinzani wa Wamagharibi kwa usitishaji vita Gaza

    Nov 14, 2023 09:23

    Licha ya kupita karibu siku 40 tangu ilipotokea operesheni ya kimbunga ya Al-Aqswa na radiamali ya utawala wa Kizayuni kwa operesheni hiyo kwa kushambulia kwa mabomu Ukanda wa Gaza na kuuawa maelfu ya Wapalestina na uharibifu mkubwa wa eneo hilo, lakini baadhi ya madola ya Magharibi yakifungamana na Waziri Mkuu wa utawala huu, Benjamin Netanyahu, bado yangali yanapinga usitishaji wa vita hivi vya umwagaji damu.

  • Amnesty International yalaani kimya cha Wamagharibi kwa jinai za Israel dhidi ya wakazi wa Gaza

    Amnesty International yalaani kimya cha Wamagharibi kwa jinai za Israel dhidi ya wakazi wa Gaza

    Nov 13, 2023 02:53

    Katibu Mkuu wa Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International amelaani kimya cha nchi za Magharibi kuhusiana na jinai na mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza.

  • Kremlin: Russia haiwezi kushindwa katika medani ya vita

    Kremlin: Russia haiwezi kushindwa katika medani ya vita

    Nov 10, 2023 02:52

    Msemaji wa Ofisi ya Rais wa Russia (Kremlin) amesema ni muhali kwa jeshi la Russia kushindwa katika medani ya vita.

  • Jitihada za Magharibi za kuzuia kuakisiwa habari za Wapalestina katika mitandao ya kijamii na vyombo vya habari

    Jitihada za Magharibi za kuzuia kuakisiwa habari za Wapalestina katika mitandao ya kijamii na vyombo vya habari

    Oct 15, 2023 02:23

    Baada ya kuanza oparesheni kwa jina la "Kimbunga cha Al Aqsa" iliyotekelezwa na Hamas na makundi mengine ya mapambano ya Palestina; serikali na vyombo vya habari vya Magharibi kwa upande mmoja vimeanzisha propaganda kubwa ili kuzuia kuakisiwa habari na matukio yanayojiri huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu huku vikichapisha na kutoa habari za uwongo ili kuonyesha taswira isiyo ya kibinadamu kuhusu wanamapambano wa Palestina.