-
Araqchi: Tupo tayari kwa mazungumzo yenye tija kuhusu mpango wetu wa nyuklia
Jan 04, 2025 07:30Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Tehran iko tayari kufanya mazungumzo yenye tija na bila ya kuchelewa kuhusu mpango wake wa nyuklia.
-
Malik Agar: Kuporomoka kwa Sudan ni hatari kwa nchi zote za kanda hii
Jul 02, 2024 04:11Malik Agar, Makamu wa Rais wa Baraza la Utawala wa Sudan, ameonya juu ya hatari ya kuporomoka kwa Sudan, ambayo haitakuwa kwa nchi hiyo pekee, bali athari zake mbaya zitaenea katika nchi jirani na kwingineko.
-
Ebrahim Raisi: Wapalestina ndio wenye haki ya kuishi katika ardhi za Palestina
Sep 19, 2022 07:26Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, wananchi wa Palestina ndio wenye haki ya kujiamulia wenyewe mustakbali wao na ndio wenye haki ya kuishi katika ardhi hizo.
-
Wazayuni wajuta kumshinikiza Trump ajitoe katika makubaliano ya nyuklia JCPOA mwaka 2018
Aug 21, 2022 02:45Wakuu wa masuala ya usalama wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wameonyesha majuto kwa hatua ya utawala huo ya kumshinikiza rais wa zamani wa Marekani Donald Trump ajitoe kwenye makubaliano ya nyuklia JCPOA mwaka 2018.
-
Raisi: Iran haitafungamanisha ustawi wake na mazungumzo ya JCPOA
Aug 13, 2022 11:25Rais Ebrahim Raisi wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislami katu haitafungamanisha ustawi wake na mazungumzo ya kujaribu kuhuisha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
EU: Tuna matumaini mazungumzo ya Vienna yatapelekea kuondolewa vikwazo Iran
Mar 26, 2022 13:48Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amesema kuwa, Iran na madola makubwa duniani yamekaribia sana kufikia kwenye makubaliano ya kufufua mapatano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Mazungumzo ya Vienna, changamoto na matarajio
Nov 29, 2021 12:02Leo Novemba 29 mji mkuu wa Austria, Vienna ni mwenyeji wa mazungumzo baina ya Iran na nchi za kundi la 4+1 kuhusu kuondolewea vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran. Nchi za 4+1 ni China Russia, Ufaransa, Uingereza, Ujerumani pamoja na mwakilishi wa Umoja wa Ulaya
-
Madai ya Ufaransa kuhusu miradi ya nyuklia ya Iran, kuendelezwa sera za kindumakuwili za Ulaya
Oct 24, 2021 02:25Sambamba na mkutano wa Ijumaa ya wiki hii baina ya wawakilishi wa Marekani na nchi za Ulaya uliofanyika mjini Paris, Ufaransa imeitaka Iran ipunguze shughuli zake za kuzalisha nishati ya nyuklia.
-
Sisitizo la viongozi wa Ufaransa, Ujerumani na China la udharura wa kuhuishwa JCPOA
Jul 07, 2021 02:21Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa, Kansela wa Ujerumani Angela Merkel, na Rais Xi Jinping wa China wamefanya mazungumzo kwa njia ya simu na kutoa wito kwa pande zinazofanya mazungumzo huko Vienna kwa ajili ya kuhuisha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kutumia vyema fursa iliyopo ya "Dirisha la Fursa" kwa ajili ya kufikia makubaliano kuhusiana na kadhia hiyo.
-
Urutubishaji wa madini ya urani hadi asilimia 60 nchini Iran na kelele za kisiasa zilizoibuliwa
Apr 18, 2021 10:49Iran kamwe haifuatilii shughuli zisizo za kawaida za nyuklia na wala haina mpango wa kutengeneza silaha za nyuklia. Huu ni ukweli ambao umethibitishwa mara kadhaa katika ripoti za Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA).