-
Kusimamishwa kibali cha shughuli za kituo cha Amani cha Mfalme Salman bin Abdulaziz nchini Malaysia
Aug 08, 2018 07:12Wizara ya Ulinzi ya Malaysia imetangaza azma ya serikali ya nchi hiyo ya kufunga mradi unaoitwa 'Kituo cha Amani cha Mfalme Salman bin Abdulaziz' wa Saudi Arabia.
-
Serikali ya Malaysia kufunga mradi wa Kituo cha Amani cha Mfalme Salman wa Saudia
Aug 07, 2018 07:40Wizara ya Ulinzi ya Malaysia imetangaza azma ya serikali ya nchi hiyo ya kufunga mradi unaoitwa 'Kituo cha Amani cha Mfalme Salman bin Abdulaziz' Mfalme wa Saudi Arabia.
-
Malaysia yaitaka dunia kupambana na utawala wa Kizayuni
Jul 24, 2018 07:56Serikali ya Malaysia imeitaka jamii ya kimataifa kuchukua hatua za haraka katika kukabiliana na sheria iliyopasishwa na utawala haramu wa Kizayuni juu ya kuundwa nchi ya Kiyuhudi katika ardhi za Palestina.
-
Waziri mkuu wa zamani Malaysia atiwa mbaroni kwa kuhusika na wizi wa mali ya umma
Jul 03, 2018 15:39Vyombo vya usalama vya Malaysia vimemtia nguvuni waziri mkuu wa zamani wa nchi hiyo, Najib Razak kufuatia uchunguzi unaoendelea juu ya upotevu wa mabilioni ya dola kutoka kwenye mfumo wa taifa aliouasisi yeye mwenyewe muongo mmoja uliopita.
-
Malaysia yasimamisha ushirikiano wa kijeshi na Saudi Arabia
Jun 29, 2018 14:40Waziri wa Ulinzi wa Malaysia ametangaza kuwa, nchi hiyo imesimamisha ushirikiano wake wa kijeshi na Saudi Arabia.
-
Malaysia yasimamisha ushirikiano wake wa kijeshi na Saudia katika vita dhidi ya Yemen
Jun 28, 2018 13:22Waziri wa Ulinzi wa Malaysia amesema kuwa, nchi yake imesimamisha ushirikiano wake wa kijeshi na Saudi Arabia katika vita dhidi ya Yemen.
-
Kiongozi mkongwe wa upinzani (92) ashinda uchaguzi Malaysia
May 10, 2018 14:30Kiongozi mkongwe wa upinzani ambaye amewahi kuwa Waziri Mkuu wa Malaysia ameshinda uchaguzi mkuu uliofanyika nchini humo, kwa mujibu wa matokeo rasmi ya Tume ya Uchaguzi, na kutamatisha utawala wa karibu miongo sita wa mrengo tawala wa Barisan Nasional.
-
Ismail Haniya: Waliomuua mwanasayansi wa Kipalestina watalipa gharamu kubwa
Apr 25, 2018 02:31Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema wahusika wa mauaji ya Fadi al Batsh, mwanachama msomi wa harakati hiyo, watalipa gharama kubwa kwa kumuua mwanasayansi huyo nchini Malaysia.
-
Raia na asasi tofauti Malaysia zaitaka serikali kuwafuatilia waliomuua msomi wa Kipalestina
Apr 24, 2018 07:31Raia, asasi mbalimbali na makundi ya kiraia nchini Malaysia yameitaka serikali ya nchi hiyo kuwafuatilia watu waliohusika na mauaji dhidi ya Fadi al Batsh, msomi mkubwa wa Kipalestina na muhadhiri katika chuo kikuu cha Kuala Lumpur, aliyeuawa siku chache zilizopita.
-
MOSSAD, mshukiwa mkuu wa mauaji ya kigaidi ya msomi wa Kipalestina nchini Malaysia
Apr 23, 2018 01:23Khaled Al-Batsh, mmoja wa viongozi wa Harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina, amesema Shirika la Ujasusi la Utawala wa Kizayuni wa Israel MOSSAD ndilo lililohusika na mauaji ya kigaidi ya msomi mtajika wa Kipalestina Fadi Muhammad Al-Batsh nchini Malaysia.