-
Umoja wa Mataifa wataka kuondolewa vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran
Jul 08, 2023 23:08Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Masuala ya Kisiasa, amehutubia kikao cha Baraza la Usalama cha kukagua utekelezwaji wa azimio nambari 2231, na kuelezea kuwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ndio chaguo bora zaidi la kuhakikisha "hali ya amani ya mpango wa nyuklia wa Iran."
-
Trump: Rais Biden ni mraibu wa mihadarati ya cocaine
Jul 06, 2023 23:39Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump amedai kuwa Rais Joe Biden wa nchi hiyo ni mtumiaji wa mihadarati aina ya cocaine, na kwamba vyombo vya habari vya nchi hiyo vinajaribu kufifiliza kashfa ya kupatikana dawa hiyo ya kulevya ndani ya Ikulu ya White House.
-
Marekani inataka kutuma Ukraine mabomu 'haramu' ya vishada
Jul 06, 2023 23:39Licha ya marufuku ya kimataifa ya matumizi ya mabomu ya vishada, lakini Marekani inatafakari juu ya uwezekano wa kutuma silaha hizo haramu nchini Ukraine.
-
Marekani; tishio kubwa zaidi kwa usalama wa dunia
Jul 05, 2023 22:48Richard Haas, mwandishi na mchambuzi mashuhuri wa Marekani ametoa matamshi tata na kueleza kwamba, Marekani imebadilika na kuwa, chanzo kikuu cha ukosefu wa utulivu duniani na nchi hii ndiyo tishio kubwa zaidi kwa usalama wa dunia.
-
Sakata: Cocaine ya Hunter Biden yapatikana ndani ya Ikulu ya Marekani
Jul 05, 2023 07:45Ikulu ya White House ya Marekani imekumbwa na sakata jingine, baada ya kifurushi cha mihadarati aina ya cocaine kinachoripotiwa kuwa cha Hunter Biden, mtoto wa Rais wa Marekani, Joe Biden kupatikana ndani eneo la West Wing katika makazi hayo rasmi ya rais.
-
China yakosoa mauzo mapya ya silaha za Marekani kwa Taiwan
Jul 05, 2023 06:29China imekosoa vikali mpango mpya wa serikali ya Marekani wa kuiuzia Taiwan silaha zenye thamani ya mamilioni ya dola, ikisisitiza kuwa mauzo hayo yanakiuka kanuni ya "China Moja".
-
Maveterani wa Marekani wawataka jamaa zao wasijiunge na jeshi la nchi hiyo
Jul 02, 2023 23:19Maveterani wa vita vya nje ya Marekani wameripotiwa kuwaasa jamaa zao kutojiunga na jeshi la nchi hiyo, wakati huu ambapo nchi hiyo inakabiliwa na mgogoro mkubwa wa vijana kukataa kujiunga na vikosi hivyo vya ulinzi.
-
Mkuu wa CIA alifanya safari ya siri Ukraine kabla ya uasi wa Wagner
Jul 01, 2023 07:06Magazeti ya Marekani yameripoti kuwa, Mkuu wa Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) alifanya safari ya siri nchini Ukraine, siku chache kabla ya kufanyika uasi wa kundi la Wagner dhidi ya serikali ya Russia mnamo Juni 24.
-
Marekani yatetea kuchomwa moto Qurani Sweden, UN yalaani
Jul 01, 2023 06:44Huku ulimwengu wa Kiislamu ukiendelea kulaani vikali kitendo cha kuvunjiwa heshima Qurani Tukufu huko nchini Sweden, Marekani imetoa taarifa inayoonekana kuunga mkono na kuhalalisha kitendo hicho cha kuvunjiwa heshima kitabu kitakatifu cha Waislamu.
-
China: Marekani ituondolee vikwazo iwapo inataka mazungumzo ya kijeshi
Jun 29, 2023 23:54Beijing imesema serikali ya Rais Joe Biden wa Marekani sharti iiondolee China vikwazo iwapo inataka kufanyike mazungumzo ya ngazi ya juu ya kijeshi baina ya madola hayo mawili makubwa.