Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Mgombea urais wa chama tawala cha Democratic akiri: Marekani ndiyo iliyounda kundi la kigaidi la Daesh

    Mgombea urais wa chama tawala cha Democratic akiri: Marekani ndiyo iliyounda kundi la kigaidi la Daesh

    Apr 22, 2023 22:03

    Robert F. Kennedy Jr ambaye ametangaza nia yake ya kugombea katika uchaguzi wa urais mwaka ujao nchini Marekani, amekiri kwamba nchi hiyo ndiyo iliyounda kundi la kigaidi la Daesh (ISIS).

  • Russia: Udhibiti wa mashindano ya uundaji silaha duniani umetoweka

    Russia: Udhibiti wa mashindano ya uundaji silaha duniani umetoweka

    Apr 22, 2023 08:15

    Balozi wa Russia mjini Washington amesema, udhibiti wa mashindano ya uundaji silaha duniani umetoweka.

  • Sheikh Kazem Seddiqi: Marekani imeshindwa kuupatia ufumbuzi mgogoro wa ndani wa Israel

    Sheikh Kazem Seddiqi: Marekani imeshindwa kuupatia ufumbuzi mgogoro wa ndani wa Israel

    Apr 21, 2023 08:13

    Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, licha ya Marekani kuwa na mfungamano wote na utawala haramu wa Israel lakini imeshindwa kuupatia ufumbuzi mgogoro wa ndani wa utawala huo, na hilo ni ishara ya kutokuwa na uwezo.

  • Mwanasiasa mwingine akiri: Marekani iliunda kundi la kigaidi la ISIS (Daesh)

    Mwanasiasa mwingine akiri: Marekani iliunda kundi la kigaidi la ISIS (Daesh)

    Apr 21, 2023 03:52

    Mwanasiasa wa Marekani ambaye ametangaza nia yake ya kugombea katika uchaguzi wa urais mwaka ujao, amekiri kwamba nchi hiyo ndiyo iliyounda kundi la kigaidi la Daesh (ISIS).

  • Taasisi ya Utafiti ya Marekani: Wamarekani ndio tishio kubwa zaidi la usalama kwa nchi yao

    Taasisi ya Utafiti ya Marekani: Wamarekani ndio tishio kubwa zaidi la usalama kwa nchi yao

    Apr 21, 2023 03:51

    Matokeo ya uchunguzi wa Taasisi ya Utafiti wa Sera ya Marekani kuhusu vitisho muhimu zaidi dhidi ya nchi hiyo yameonyesha kwamba Wamarekani wenyewe wanatambuliwa kuwa tishio kubwa zaidi kwa usalama wa nchi yao.

  • Elon Musk akiri: Serikali ya Marekani inadhibiti maudhui za mtandao wa Twitter

    Elon Musk akiri: Serikali ya Marekani inadhibiti maudhui za mtandao wa Twitter

    Apr 19, 2023 21:56

    Mkurugenzi Mtendaji wa mtandao wa kijamii wa Twitter, Elon Musk, amekiri katika mahojiano yake na vyombo vya habari kwamba serikali ya Marekani inafika kamilifu" kwenye jumbe binafsi za moja kwa moja za watumiaji wa mtandao huo. Nukta ya kuvutia hapa ni kwamba awali Musk mwenyewe hakujua jambo hilo.

  • Rais wa Brazil aitaka Marekani iache kuchochea moto wa vita Ukraine

    Rais wa Brazil aitaka Marekani iache kuchochea moto wa vita Ukraine

    Apr 16, 2023 03:24

    Rais Luiz Inacio Lula da Silva wa Brazil amesema akiwa mjini Beijing, China kwamba Marekani inapaswa iepuke hatua za kuchochea moto wa vita nchini Ukraine.

  • Kuendelea utunishaji misuli na ubabe wa China mbele ya Marekani

    Kuendelea utunishaji misuli na ubabe wa China mbele ya Marekani

    Apr 13, 2023 22:43

    Ijapokuwa China ilitangaza hivi majuzi kuwa mazoezi yake ya kijeshi ya pande zote iliyofanya kwa mfananisho wa kukizingira kisiwa cha Taiwan yamemalizika, lakini televisheni ya taifa ya nchi hiyo ilitangaza kuwa, manowari kadhaa za Beijing zitaendelea kutoa mafunzo yanayohitajika kuendana na uhalisia wa hali ya vita katika maji yanayoizunguka Taiwan ili kupima uwezo wake katika ngazi zote na ufanisi wa silaha na zana zake za kivita.

  • Ramani ya Utaratibu Mpya wa Ulimwengu; Sisitizo la Kiongozi Muadhamu la kudhoofika sarafu ya dola

    Ramani ya Utaratibu Mpya wa Ulimwengu; Sisitizo la Kiongozi Muadhamu la kudhoofika sarafu ya dola

    Apr 13, 2023 08:49

    Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Jumanne ya tarehe 4 Aprili alizungumzia na kufafanua masuala kadhaa katika mkutano na viongozi na maafisa watendaji wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Marekani haijampatia viza Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ya kuingia UN

    Marekani haijampatia viza Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ya kuingia UN

    Apr 12, 2023 09:10

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ametangaza kuwa Marekani bado haijampatia Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergei Lavrov viza ya kuingia nchini humo kushiriki katika mkutano wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa mjini New York.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS