-
Jimbo la US lasajili ongezeko la 900% la watoto wanaozaliwa na kaswende
Feb 14, 2023 04:26Idadi ya watoto wanaozaliwa wakiwa wameambukizwa ugonjwa wa zinaa wa kaswende katika jimbo la Mississippi nchini Marekani imeongezeka kwa kiwango cha kuogofya.
-
Indhari ya kuenea tishio la Daesh pasi na kutajwa waungaji mkono wake
Feb 13, 2023 22:56Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameonya katika ripoti yake ya kiduru kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwamba, licha ya hasara na pigo kubwa lililopita kundi la kigaidi la Daesh katika miaka ya hivi karibuni lakini tishio la la kundi hilo la kigaidi lingali linaongezeka kwa ulimwengu.
-
Radiamali ya Iran kwa kuungwa mkono kundi la kigaidi la MKO katika Kongresi ya Marekani
Feb 13, 2023 09:44Hussein Amir-Abdollahia, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiiislamu ya Iran Jumamosi ya juzi tarehe 11 Februari alitoa radiamali kuhusiana na azimio la Kongresi ya Marekani linaloliunga mkono kundi la kigaidi la Munafiqin (MKO).
-
HAMAS: Njama za Marekani za kuisambaratisha Intifadha zitafeli
Feb 12, 2023 23:05Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu HAMAS amesema njama za Marekani za kutaka kuisambaratisha Intifadha ya Tatu ya Wapalestina dhidi utawala wa Kizayuni wa Israel zitagonga mwamba.
-
Juhudi tasa za miongo minne za Marekani za kuuangusha mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Feb 12, 2023 08:39Mamilioni ya Wairani jana Jumamosi walishiriki katika maandamano ya maadhimisho ya tarehe 22 Bahman (Februari 11) na kuadhimisha kwa hamasa kubwa miaka 44 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Visa vya kujitoa uhai vyakithiri kwa kiwango cha kutisha Marekani
Feb 11, 2023 23:07Matokeo ya utafiti uliofanya huko Marekani yanaonyesha kuwa, idadi ya Wamarekani wanaojitoa uhai imeongezeka kwa kiwango cha kutisha, huku vijana wa Kimarekani wenye asili ya Afrika wakiongoza kwenye orodha hiyo.
-
Onyo la Putin kuhusu kukithiri kwa vitisho vya kigaidi nchini Afghanistan
Feb 11, 2023 23:04Rais wa Russia, Vladimir Putin amesema kwamba: "Tishio la ugaidi limeongezeka baada ya Marekani kuondoka Afghanistan."
-
Kuboreshwa uwezo wa ndege zisizo na rubani za Jeshi la Anga la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Feb 11, 2023 05:49Brigedia Jenerali Hamid Vahedi, Kamanda wa Jeshi la Anga la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, amewasilisha ripoti ya utendaji wa mwaka jana wa jeshi hilo na kutangaza ongezeko la 33% la idadi ya ndege zisizo na rubani za Jeshi la Anga.
-
Mwito wa Russia wa kufuatiliwa jinai za Marekani na Uingereza nchini Iraq
Feb 10, 2023 00:36Vasily Nebenzya, mwakilishi wa kudumu wa Russia katika Umoja wa Mataifa, Jumatano ya juzi na ikiwa ni siku tatu baada ya kumbukumbu ya mwaka wa uongo mkubwa wa Marekani dhidi ya Iraq alisema kuwa, lazima watenda jinai Wamarekani na Waingereza wapandishwe kizimbani kwa jinai zao nchini humo.
-
Spika wa Bunge la Russia: Rais Biden wa Marekani ni "gaidi" kwa kuamuru Nord Stream iripuliwe
Feb 09, 2023 22:55Spika wa Bunge la Russia Vyacheslav Volodin amesema, Rais Joe Biden wa Marekani ni gaidi kutokana na kutoa amri ya kutekelezwa hujuma ya kubomoa muundombinu wa nishati barani Ulaya.