Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Utafiti: Polisi ya Marekani imeua raia 700 ndani ya miezi 7

    Utafiti: Polisi ya Marekani imeua raia 700 ndani ya miezi 7

    Aug 04, 2022 20:44

    Mamia ya raia wameuawa na askari polisi wa Marekani tokea mwanzoni mwaka huu 2022 hadi sasa, huku duru mbalimbali zikiendelea kulaani ukatili wa polisi ya nchi hiyo dhidi ya raia hususan Wamarekani wenye asili ya Afrika.

  • Senate ya Marekani yachochea vita, yaidhinisha Sweden na Finland kujiunga na NATO

    Senate ya Marekani yachochea vita, yaidhinisha Sweden na Finland kujiunga na NATO

    Aug 04, 2022 02:42

    Baraza la Senate la Marekani limeidhinisha nchi za Finland na Sweden zinazopakana na Russia zijiunge na jeshi la nchi za Magharibi NATO, hatua ambayo inaonesha wazi ni kuchochea mivutano mingi zaidi baina ya Magharibi na Russia.

  • Hivi ndivyo Asia Magharibi ilivyotia kasi kuporomoka nguvu na ushawishi wa Marekani

    Hivi ndivyo Asia Magharibi ilivyotia kasi kuporomoka nguvu na ushawishi wa Marekani

    Aug 03, 2022 21:52

    Ni jambo lisilo na chembe ya shaka kwamba, Asia Magharibi ni eneo la ushawishi wa jadi wa Marekani. Nchi hiyo ya kibeberu imejiimarisha mno kijeshi kenye eneo hili na ina ushawishi katika matukio ya kiusalama ya nchi waitifaki wake za Asia Magharibi.

  • China yaitaka Marekani iiondolee Iran vikwazo haramu

    China yaitaka Marekani iiondolee Iran vikwazo haramu

    Aug 03, 2022 07:27

    Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Kudhibiti Silaha katika Wizara ya Mambo ya China ameitaka Marekani iiondolee Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vikwazo haramu.

  • Onyo la Katibu Mkuu wa UN la kutokea vita vya nyuklia duniani

    Onyo la Katibu Mkuu wa UN la kutokea vita vya nyuklia duniani

    Aug 03, 2022 03:52

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameonya kuhusu hatari ya kutokea vita vya nyuklia duniani. Alitoa onyo hilo Jumatatu, Agosti 1, 2022 wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Kuangaliwa Upya Mkataba wa NPT wa Kuzuia Uzalishaji na Uenezaji wa Silaha za Nyuklia.

  • Mauaji ya Ayman al Zawahiri yapokewa kwa hisia tofauti

    Mauaji ya Ayman al Zawahiri yapokewa kwa hisia tofauti

    Aug 02, 2022 06:06

    Mauaji ya Ayman al Zawahiri, kiongozi wa mtandao wa al Qaida katika operesheni ya droni iliyofanywa na wanajeshi wa Marekani, yamepokewa kwa hisia tofauti ya duru za kisiasa za nchi hiyo.

  • Iran yajibu hatua ya Marekani ya kuiwekea vikwazo vipya

    Iran yajibu hatua ya Marekani ya kuiwekea vikwazo vipya

    Aug 02, 2022 05:57

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amejibu hatua ya Marekani ya kuiwekea vikwazo vipya Jamhuri ya Kiislamu licha ya kudai kiuongo kuwa inataka yafanikiwe mazungumzo ya kuondolewa vikwazo Iran kupitia mapatano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Kani: Iran iko tayari kuipa Marekani fursa nyingine ya kujirudi

    Kani: Iran iko tayari kuipa Marekani fursa nyingine ya kujirudi

    Jul 31, 2022 22:17

    Kiongozi wa timu ya Iran katika mazungumzo ya nyuklia ya Vienna amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ipo tayari kutamatisha mazungumzo ya kuiondolea vikwazo Tehran haraka iwezekanavyo, sanjari na kuipa Marekani fursa nyingine ya kurekebisha makosa yake.

  • Onyo la moja kwa moja la Rais wa China kwa mwenzake wa Marekani

    Onyo la moja kwa moja la Rais wa China kwa mwenzake wa Marekani

    Jul 31, 2022 21:46

    Katika mazungumzo ya simu na mwenzake wa Marekani, Rais Xi Jinping wa China amemuonya kuwa Marekani haipaswi kuchezea moto kwa kujaribu kusambaratisha mfumo wa China Moja kuhusu kisiwa cha Taiwan.

  • Marekani yachochea moto, yaiuzuia ndege za kivita Ujerumani wakati huu wa mgogoro na Russia

    Marekani yachochea moto, yaiuzuia ndege za kivita Ujerumani wakati huu wa mgogoro na Russia

    Jul 31, 2022 02:57

    Serikali ya Marekani inaendelea na siasa zake za kuchochea vita kwa kuiuzia Ujerumani ndege za kivita kwa kisingizio cha kukabiliana na Russia katika mgogoro wa Ukraine.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS